Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
kwendA zako..sala za usiku huku kavua nguo?
Ulijuaje hakuwa na nguo?! Unanitia shaka!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwendA zako..sala za usiku huku kavua nguo?
Huo ndiyo upande wa pili wa sarafu wa yaliyokuwa maisha ya kiongozi wetu shujaa wa bara la Afrika.
Lakini si yeye tu aliyekuwa akifanya mambo hayo ya kishenzi,bali hata maafisa wake waandamizi wa serikali,wslikuwa wanafanya mauchafu hayo.
Kwa wale mnaokumbuka,hapa TZ,kuna balozi mmoja wa Libya,aliyedumu muda mrefu sana,aliyekuwa akiitwa,Al Bashir kipindi chote alichokaa hapa nchini,alikuwa akikaa kwenye hoteli ya Serena,ambayo enzi hizo ilikuwa ikiitwa Sheraton,baadaye ikawa inaitwa Roysl Palm na baadaye Movenpick.
Huyu jamaa pamoja na kupewa nyumba yenye hadhi ya ubalozi kule Oysterbay,lakini kipindi chote alichokuwa balozi hapa nchini alikuwa akiishi kwenye Diplomatic suite,hspo hotelini.
Huyo jamaa hapo hotelini,alikuwa na assignment moja tu kubwa,kujua ni vibinti gani,vilivyotoka kwenye mashindano ya miss Tanzania mwaka huo na kuvileta hapo chumbani kwake na kuvishughulikia.
Huo ufuska wake ulikuwa hauishii kwa mamiss tu,bali hata wamama maarufu,walipokuwa wakijichanganya tu mbele yake,nao alikuwa akiwasomba!
Nakumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi zile,ambapo yule mwanamama shupavu,aliyekuwa balozi wa Zimbwambwe,hapa nchini,alipotoka chumbani kwa huyo mheshimiwa balozi huku akiwa amejifunga taulo tu kiunoni,akikimbilia reception ya hoteli,na kuwalalamikia wahudumu kuwa balozi huyo,anataka kumfanyia mambo ambayo ni kinyume cha maumbile!
Wachilia mbali,tabia zake hizo za ufuska wa kutisha lakini balozi huyo pia alikuwa mlevi wa kutupa na kinywaji chake kikubwa,kikiwa ni whisky!!
Kwa hiyo,hayo ndiyo maisha ya waliokuwa viongozi waandamizi wa serikali ya Muammar Ghaddafi wakifanya kufuru na huo utajiri,unaoitwa wa petrol dollars!!
Wewe Msalimie Juliana shonzaWana jf salama lakini wadau..
Nimelazimika kuandika uzi huu baada ya kuona kuna uzi umejipatia umaarufu siku za karibuni kwa kisingizio ni hotuba ya mwisho ya kizalendo ya gadafi baadh ya watu wamesoma kwa makini na hawajasita kuficha hisia zao... kusema wameguswa saana na wanaumia saana na kupatwa na uchungu saana japo sio wajawazito....
Nami naungana nao na nakiri Mbele ya Mungu na keyboard zangu nazoandikia Gaddaf alikua kiongozi jasiri,Mzalendo, na mpenda africa na Maendeleo alieoinga unyonyaji wa kibeberu hadharani... kwa haya nampa pongezi saana na nakubaliana hata aliyoyasema kwenye hotuba yake...
Pamoja na yote haya nashawishika kusema gadafi alikosa busara ndogo saana, Busara ya kuridhika na kuusoma upepo wa kisiasa, Kiongozi yoyote asieridhika hupenda kuendelea kutawala tuu, Na hii sio busara katika uongozi hua natafakari alishindwa nini Kumwandaa mtuu ambaye sio mwanae kumfanya atawale baada yake ili yeye abaki salama mpaka akataka kumwandaa Mwanae seif islam gadaf kuwa mrithi wake, Ikimbukwe alifanya mapinduzi mwaka 1966 kuutoa utawala wa kifalme wa kuridhishana madaraka Miaka 40 badae nae analifanya kosa alilolipinga Nashawishika kusema Gadafi alikosa busara kidogo saana..
Ni huyu huyu muammar Gaddaf aliesifika kulazimisha africa iungane na kua frontline wa wazo hili Lakini ni huyu huyu gadafi aliemsaidia idd Amini silaha na fedha Kuhakikisha anakimega kipande cha Tanzania ndani ya afica hii hii Moja..
Na kuonyesha analiunga hilo alimhifadhi iddy amini na nyerere alipokufa Akagoma kushusha bendera yake Nusu mlingoti huku Nchi zote africa zilishusha bendera Nusu mlingoti... Ndio Maana nasema Gadafi alikosa Busara ndogo saana.. Na Ni aibu Mtanzania kumsifia gadafi au kuguswa na kifo cha gadafi Mtu aliesaidia uvamizi na kuua maelf ya watanzania katika vita ya kagera...
Hivyo hovyo anasifika kwa kuwasaidia waasi katika nchi mbalimbali fedha na silaha ili nchi zao sisitawalike wakiwemo waasi wa Niger Kwa Misingi hii hakuwahi kua na nia ya dhati ya kutaka africa iwe Moja itakuwaje Moja wakati yeye anasaidia maasi na mauwaji na kujitapa hadharani.....
Mmaamari Gadaf alikua ni Nyani asie ona kundule alichokisema hakumaanisha, alichomaanisha hakukisema Mkono wake una damu ya maelf aliowauaa moja kwa moja au kwa kupitia msaada wake... alikua na majivuno ya pesa na kudhibitisha ule msemo wa maskini akipata ------ huliaa pwata pwata... alitokea familia ya kimaskini kabila la kibedui aliekulia jangwani akichunga mbuzi alipoanza kushika dola akasahau asili yake akaanza kutukana tukana hovyo na kuua wote waliompinga...
Katika mazingira ya kushangaza aliamua kurekebisha kuruani, kitabu kitakatifu akipinga uislamu kuoa wake wa4, uliona wapi binadamu akirekebisha kitabu cha Mungu Baada ya tukio hilo nchi za kiiarabu zikamtenga...na kumwona msaliti wa imani yao ndipo alipozigeukia nchi za kiafrica kua nazo karibu baada ya waarabu wenzake kumtenga... Gadaf alikosa busara...
Yapo mengi ya kijinga alioyafanya yanatia uvivu kuyaandika kwangu mimi mabaya ya gadafi ni mengi kuliko mazuri aliyoyafanya kwa jibu jepesi kwangu gadafi ni kiongozi aliekosa busara kidogo angekua na busara leo libya ingekua salama yenye mafanikio makubwa angekja hai na kuheshimika kama baba wa taifa angemuweka kiongozi mzuri katika uchaguzi angekua na nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya libya na africa angekufa kwa heshima na kuzikwa kwa heshima sio kufa kwenye mtalo kama panya...,
Mungu akulaze mahala PABAYA PEPONI AMINA...
Wana jf salama lakini wadau..
Nimelazimika kuandika uzi huu baada ya kuona kuna uzi umejipatia umaarufu siku za karibuni kwa kisingizio ni hotuba ya mwisho ya kizalendo ya gadafi baadh ya watu wamesoma kwa makini na hawajasita kuficha hisia zao... kusema wameguswa saana na wanaumia saana na kupatwa na uchungu saana japo sio wajawazito....
Nami naungana nao na nakiri Mbele ya Mungu na keyboard zangu nazoandikia Gaddaf alikua kiongozi jasiri,Mzalendo, na mpenda africa na Maendeleo aliepinga unyonyaji wa kibeberu bila kificho... kwa haya nampa pongezi saana na nakubaliana hata aliyoyasema kwenye hotuba yake...

Huna akili punguza unene huo una jamba jamba tu

Mimi ilikuwa rahisi kujua mambo yake huyo jamaa, kwa kuwa na mimi nilikuwa nafanya kazi hotelini hapo enzi hizo. Fullstop
Bila kusahau ni rais wa kwanza duniani kujificha kwenye karavati la daraja barabarani!
Siku zote huwa ninasema dini ya ukristo wafuasi wake lazima wawe ni wadhalilishaji na watukanaji! Na huu msingi umeasisiwa na muanzilishi wa ukristo PAULO' Ikiwa wamediriki kumtukana mungu wao kwa kumwita mpumbavu na dhaifu jee watambakisha MTU!!!???
Ni lini utakua huru na kuweza kuelewa ukristo vizuri? Au unavyosoma biblia hua unasoma tayari ukiwa na mtazamo wako wa ukosoaji?
Hayo maelezo yako hapo juu yote ni uongo!