Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana ,
Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo.
Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over,
Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini,