Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Kama umefuatilia angalau chache kati ya post zangu, utagundua kuna maneno huwa yanajirudia, mfano: DUNIA IMEJAA UONGO, UNACHOONA SICHO KILICHOPO, nk.

I mean what I say.

Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuvamiwa na kuuawa kwa Sadamu Hussein ni uongo
Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuangushwa kwa world trade centre kwenye 9/11 ni uongo
Kile ambacho dunia iliambiwa ni sababu za kuvamiwa na kuuawa kwa Muamar Gaddaffi ni uongo

Na hata hiki unachokimbiliakimbilia sasa ni cha uongo
Wewe tu usiyependa kutafuta
Unapenda kuambiwa tu
You swallow hook, line and sinker

Mpendwa,
Dunia imejaa uongo.
Siku ukiamka, ndipo utaacha kuishi unachopangiwa kwa remote
na kuishi unachotakiwa na cha kupanga mwenyewe.

Ukipenda,
Punguza muda wa kuangalia bongofleva na mambo kama hayo,
Tumia simu yako kwa kujifunza REALITY.

LAKINI SI LAZIMA.
UKIPENDA!
But you'll never have the freedom to choose the consequences!

Pole mwanamapinduzi wa Afrika.
Pole baba Gadafi.
Pole baba Sadamu.

 
kosa lipi mkuu?
hakuwa na kosa lolote mkuu, alivamiwa kwa sababu ya uonevu tu, kama ambavyo sadam naye alivamiwa kwa uongo tu - watu wanataka mafuta na pia hawataki mtu asiyewategemea wao.
 
Yaliyofanyka yamefanyika Ili litimie lile neno lililosemwa...let us turn to The Almighty for security & assurance, no human being can stand up to them, gadda wasn't the first, & I'm sure as hell he won't be the last.
for sure hawezi kuwa the last. Ila haimaanishi tuwaamini sana hao watendao hayo maovu. At leat, let us know them for what they are - evil minded.
 
Umesema hivyo nimekumbuka 13hrs in benghazi mwanzo wanamuonyesha gadafi akitolewa kwenye karavati..
Ile muvi ni kali sana
 
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki
una maana kuwa marekani ilikuja KUWASAIDIA walibya?
 
Unaonekana Bado mwepes, Basi nakutafunia na hili umalizie..
Bali vita vyetu c vya nyama na damu...malzia
kwa dimension hiyo wala sina ugomvi - hiyo ni kweli kwa kila kitu hata magonjwa, nk. Ninachoongelea ni physical dimension
 
Nilipata kusikia kwamba jamaa anataka aifanye africa iungane iwe nchi moja...Hili kwangu nililiona ni jambo zuri

Nikaskia kwamba katika umoja huo yeye ndiye awe raisi anayetawala....Hapa nikakubali endapo kutawekwa sheria za haki kuwaruhusu wananchi wachague kiongozi wanayemtaka

Nikaskia tena katika huo uongozi utahusishwa sharia za kiislamu kiufupi nchi inakua na vielements flani hivi vya kidini ambavyo vinaminya uhuru wa mtu....I raised my middle finger on this
 
Nilipata kusikia kwamba jamaa anataka aifanye africa iungane iwe nchi moja...Hili kwangu nililiona ni jambo zuri..s
Ni kweli Gadafi alipenda Afika iungane - jambo ambalo ni gumu kufanya mara moja. Lakini kwenye post yangu nimeweka video yake fupi ya dak moja. Anaongelea mipango ya mataifa tajiri kutengeneza chanjo na ili kunufaika kiuchumi.
 
Marekani ilikuja kwa interest zake. Gaddafi ndio alishindwa kuwasaidia Walibya kwa kushindwa kuweka misingi madhubuti ya kupokezana uongozi pamoja na kukaa madarakani zaidi ya miaka 40. Matokeo yake alivyoondoka kila kitu kikavurugika
mkuu umesikiliza na ka-video niikoweka kwenye post?
 
Back
Top Bottom