Aitishe uchaguzi sasa miaka 40 hakuna uchaguzi watu hawapumui wafanyeje zaidi ya kumuua tukama angesoma, alitakiwa afanyeje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aitishe uchaguzi sasa miaka 40 hakuna uchaguzi watu hawapumui wafanyeje zaidi ya kumuua tukama angesoma, alitakiwa afanyeje mkuu?
Anton fauci a,egharamia GAIN OF FUNCTION ya virus hivi kule Wuhan, mkuu. Nini maana ya 'gain of function'?hoja yake inashida kwakuwa hivi virusi vimekuwa vikiibuka kabla hata biashara ya chanjo haikuwako. ye angesema tu kuwa makampuni ya madawa yanatake advantage ya pandemics kufanya biashara lkn kusema kuwa wanacreate diseases ili wauze chanjo haimake sense maana hasara inayoletwa na pandemics km corona ni kubwa kiasi kwamba hio faida ya kuuza hio chanjo inakuwa haina maana kabisa, kama marekani uchumi wao umepoteza zaidi ya USD trilion 3 kwajili ya covid, mamilini wamekosa kazi na nchi imelazimika kuingia madeni makubwa kusapoti uchumi, ht km kampuni za marekan pekee ndo ziruhusiwe kuuza chanjo na wachanje dunia nzima hawawezi kupata faida zaidi ya hasara iliopatikana, sena tu hizi kampuni zinatake advantage kufanya biashara kama hawa wanaolzamisha awamu zingine za uchanjaji wakati hakuna ulazima huo-ila ni mtazamo wangu tu
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki
Marekani ilikuja kwa interest zake. Gaddafi ndio alishindwa kuwasaidia Walibya kwa kushindwa kuweka misingi madhubuti ya kupokezana uongozi pamoja na kukaa madarakani zaidi ya miaka 40. Matokeo yake alivyoondoka kila kitu kikavurugika
Nilipata kusikia kwamba jamaa anataka aifanye africa iungane iwe nchi moja...Hili kwangu nililiona ni jambo zuri
Nikaskia kwamba katika umoja huo yeye ndiye awe raisi anayetawala....Hapa nikakubali endapo kutawekwa sheria za haki kuwaruhusu wananchi wachague kiongozi wanayemtaka
Nikaskia tena katika huo uongozi utahusishwa sharia za kiislamu kiufupi nchi inakua na vielements flani hivi vya kidini ambavyo vinaminya uhuru wa mtu....I raised my middle finger on this
Mkuu,viongozi wa nchi wanajua siri nyingi kuhusu hii dunia kuliko wewe,wapo kwenye hiyo position.Sasa kiongozi kama Gaddafi akisimama kwenye Podium ya UNGA akaongea maneno kama yale,wewe mtu wa kawaida inatakiwa utulie na ufikiri vizuri sio ku dismiss na kuita conspiracy.Ila nakuelewa binadam huwa hatupendi kuchosha akili na vitu vigumu.conspiracies hazijawahi kuwa na mchango wowote kwenye kutatua changamoto duniani
sawa mkuuMkuu,viongozi wa nchi wanajua siri nyingi kuhusu hii dunia kuliko wewe,wapo kwenye hiyo position.Sasa kiongozi kama Gaddafi akisimama kwenye Podium ya UNGA akaongea maneno kama yale,wewe mtu wa kawaida inatakiwa utulie na ufikiri vizuri sio ku dismiss na kuita conspiracy.Ila nakuelewa binadam huwa hatupendi kuchosha akili na vitu vigumu.
Bila kusahau mauaji ya maelfu ya wafungwa kwenye gereza la Abu Salim.Gaddafi alikuwa gaidi, alipanga njama zilizopelekea kulipuliwa kwa ndege ya Marekani ya PanAm kwenye anga ya Lockerbie kule Scotland.
Pia alikuwa miongoni mwa waliofanya njama za kumuua aliyekuwa rais wa Misri General Anuar Saddat na vitendo vingine vingi vya kigaidi. Pia wakati wa vita vya Tanzania na Uganda alileta maaskari wake kumsaidia Idi Amin.
Wakati Museveni na Mugabe wanapanga kuachia madaraka alikuja kuwashawishi wasiachie kwa kile alichodai kwamba "Mwana mapinduzi kamwe haondoki madarakani ila ni kifo tu ndio humuondoa", hali hii ilipelekea wawili hao wabadili misimamo yao na kuamua kung'ang'ania madarakani.
Hivyo, kwa mtizamo wangu, huyu mtu alikuwa ni mtawala moja wa hovyo sana na pamoja na kuwa na pesa nyingi za mafuta hakuweza kuanzisha miradi yoyote ya maendeleo ktk nchi yoyote barani Afrika labda sana sana alijenga misikiti kwenye baadhi ya nchi na kuwahimiza watu wafuate imani yake ya dini.
Yaani mtu fulani anaibuka ghafla tu halafiu anaanza kufanyia kazi taarifa fulani ambazo ni rumours, whether za kusikia au za kutengeneza, halafu baada ya hapo ana act viloently! Kazi sanaconspiracies hazijawahi kuwa na mchango wowote kwenye kutatua changamoto duniani
Kosa lake ni kushindwa kusoma alama za nyakatKuwatumikia watu
Angejiuzulukama angesoma, alitakiwa afanyeje mkuu?
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki