REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kawahi hadi kuwa balozi huyu
Nimeona aibu sana duhAngalia anachofanya huyo binti! ni aibu kila dakika anaoneshwa yeye. Unachezaje na simu na kucha kila dakika kama mtoto wa miaka 18??
💯Imagine waziri wa muda mrefu ata etiquette za hadhara hana.
Hii nchi inahitaji overhaul
Ukishajua ni kwanini Camera ilikuwa inamuonesha yeye hutarudia kuandika huu UTUMBOTusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?
Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
Kama nchi yenyewe ni South Africa sawa.Hii nchi inahitaji overhaul