econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ingelikuwa nchi serious km Japan km Japan angeshafukuzwa uwaziri, Nakumbuka kuna waziri nafikiri waziri wa fedha wa Japan alipiga miayo kwenye kikao kimoja cha kimataifa aliitwa nyumbani mara moja na kufukuzwa uwaziri haraka sana alitumwa waziri mpya wa fedha aliyeteuliwa mara moja. Waziri anachat na wanaume kwenye kikao serious? Ndio maana nasikia hajaolewa, she's not a material wife hence not a material minister
Huyo hana haina ya kuolewa.