Muangalie Pindi Chana anachofanya nchini Afrika Kusini

Waziri wa utamaduni kaendaje huko
Ilikua ni moja ya sehemu ya maeneo ya kuanzisha/kukuza/kudumisha/kushirikiana katika nyanja za wizara hiyo.

hatoshi kwenye hiyo wizara huyo binti na ndio maana alitolewa maliasili. Wamemtambulisha kocha mbovu mno. Yaani makocha wanatakiwa walipe maafisa pale TFF iliwapewe kandarasi na hii imekuwa ndio mchezo wa Wallace Karia pale TFF, tangu Amunike. Vigezo vipi wametumia kumteua??

Zambia Kocha wao ni Avram Grant, Kocha aliyewahi kuinoa Chelsea na Westa Ham pia. Sisi leo hii tunateua makocha toka Burundi wakina Ndairagije, then tuna teua wakina Adel Amrouche, kocha aliyeshindwa Burundi, akashindwa Kenya baada ya kipigo toka kwa Lesotho, akashindwa tena Botswana baada ya kipigo toka Malawi.

cc melusine8 Erythrocyte imhotep Pascal Mayalla Kinyungu antimatter Extrovert SAGAI GALGANO
 
Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?

Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Usitufanye wajinga , Rais wa nchi anahutubia wewe upo busy na simu?
 
Huyu jamaa amependeza kwa kweli.
JamiiForums-1527797204~2.jpg
 
Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?

Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Kwahiyo hao wengine hawana simu au uhusika na majukumu uliyoyataja?
Miafrika sijui tulilogwa na nani?
 
Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?

Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.

Si atoke nje.
 
Ingelikuwa nchi serious km Japan km Japan angeshafukuzwa uwaziri, Nakumbuka kuna waziri nafikiri waziri wa fedha wa Japan alipiga miayo kwenye kikao kimoja cha kimataifa aliitwa nyumbani mara moja na kufukuzwa uwaziri haraka sana alitumwa waziri mpya wa fedha aliyeteuliwa mara moja. Waziri anachat na wanaume kwenye kikao serious? Ndio maana nasikia hajaolewa, she's not a material wife hence not a material minister

Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
 
Back
Top Bottom