Muangalie Pindi Chana anachofanya nchini Afrika Kusini

Muangalie Pindi Chana anachofanya nchini Afrika Kusini

Screenshot_20230316-235542_WhatsApp.jpg


Screenshot_20230316-235406_WhatsApp.jpg


Kuna sura ukiziona tuu unajua huyu mtu yuko kwenye mfumo wa serikali siku nyingi.
Na kuna ukiziona, unashangaa....!!! Huyu ameingiaje kwenye mfumo....🤔
Inapendeza, kila kitu kiko mahala pake.
 
Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?

Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Acha utumbo Huo Wewe.
 
Back
Top Bottom