Ingelikuwa nchi serious km Japan km Japan angeshafukuzwa uwaziri, Nakumbuka kuna waziri nafikiri waziri wa fedha wa Japan alipiga miayo kwenye kikao kimoja cha kimataifa aliitwa nyumbani mara moja na kufukuzwa uwaziri haraka sana alitumwa waziri mpya wa fedha aliyeteuliwa mara moja. Waziri anachat na wanaume kwenye kikao serious? Ndio maana nasikia hajaolewa, she's not a material wife hence not a material minister
my friend kila jambo na wakati wake. Ulishamwona rais wetu akichezea simu kwenye mkutano? Siyo mke, mama, bibi?Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?
Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Hao ndio wanataka haki sawa
Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
Huyu akirudi tz nitamfuata ofisini kwake kumkanya sio sawa ,au alifikili yupo sebuleni kwake
Kila dakika kwenya hiyo clip alikuwa akioneshwa yeye na mambo yake, unafikiri ni sawa ama utoto na kulitia taifa aibu?
Hata kama ni habari muhimu sio kwa staili hiyo,kiufupi watu wa hivi anakuwepo physically tuTusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?
Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
mno!Watunga Sera wetu hao, tunasafari ndefu sana
Huu utumbo kamuelezee Raisi wa Korea ama wa China.Juu ya mawaziri wake.Tusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?
Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Mama ampandishe cheo tuš¤£š¤£š¤£Angalia anachofanya huyo binti! ni aibu kila dakika anaoneshwa yeye. Unachezaje na simu na kucha kila dakika kama mtoto wa miaka 18??
Daaah wewe bwana wewe una nongwa sana. Kawapimeni DNANape Kila umri unavoongezeka anazidi kufanana na profesa mark mwandosa kweli duniani wawili wawili
Yaani tukupe uwazir utuletee mastress ya mume unambwato nnTusi judge mtu kwa kitu tusichojua. Huyo ni Waziri, Mke, Bibi, Shangazi n.k. Kushika simu hakumfanyi asitekeleze majukumu yake. Tunajua alikuwa anasoma nini kwenye simu? Kama ni ratiba zinazohusu safari au tulitaka awe na radio call?
Kuna wakati tunapiga kelele nyingi tukijifanya sisi ni wazalendo zaidi, kumbe hamna kitu, hatuna nia nzuri, ni kwa sababu tu hatupati anachopata aliye na nafasi, nasi tungekuwa alipo tunayemlaumu tusingefanya tofauti.
Yule babu aliyechangamka anapitaga hapo??Pindi Chana huyu si mwanamsoga huyu? Katia aibu sana tena sana. Huyu mama adabu zero kbs hana heshima kbs. Ingekiwa North Korea huyu kesho angekuwa chakula cha mbwa mwitu ama angepigwa na Rocket Range. Hana adabu kuna mpuuzi atatetea ukosefu wa adabu huu. Na cameraman kachukua hiyo picha kutuonyesha kitu cha Waziri wetu.