Muangalie Pindi Chana anachofanya nchini Afrika Kusini

Kimsingi Rais aliingizwa chaka kumteua huyu PINDI CHANA kuwa Waziri wa Utalii. Amepelekwa hiyo ya michezo na utamaduni kwa waliosoma Cuba inaitwa "writing on the wall".

Huyu hawezi kumaliza 2025 akiwa Waziri, Mark this post
 
Mbali sana huko!
 
Na hapo sijui kama anajuwa nini walikuwa wanazungumza [emoji1]

Ova
 
Acha uzoba wewe kutetea kilakitu!
Tunamlipa huyo pesa nyingi tuu anatakiwa afanye kazi kwa nidhamu. Rais anasikiliza yeye anachati na hatulii manake nini?
Hizi nitabia zawengi pale unampenzi mpya!! Kikao ni chakazi na umesafiri inatakiwa uzingatie kiumakini kama wooote sio hutulizi akili kama kunadharura angeondoka!!
Apewe test huyo aseme kajifunza nini huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…