Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo
1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4
2. Baraza la mawaziri alibadili taratibu bila kukurupuka ili kuendelea kuwa hadaa wananchi kwamba they are the same with Magufuli, hakulibadili sana ila alifanya changes kidogo tu!

3. Report iliyokaguliwa ná kugundua Makamu na Viongozi wakubwa pale B.O.T wanahusika ilibidi wapewe maelezo kimya Kimya kurejesha pesa na kuwajibishwa kwa namba yao

4. Jeshi liliahidi kushika kwa Muda nchi kwa kusaidiana na Mamalakin naona bado Mabeyo anaendelea kushika Kwa maagizo fulani fulani (kwa baadhi ya mambo mama akiwa kama kivuli tu)

Muda unapita siku 120 walizoahidiana kwenye dokezo sasa zimeenda mpaka siku 200!

matatajio yake yatakuwa Magumu maana ni vigumu kuenda nje ya mzimu wa Magufuli unaomtafuna Kwa kuwabakiza wanaomini kwamba bila wao na Magufuli kazi haiendi

Britanicca
 
Nahisi lile kundi la mwendazake bado lina nguvu isiyoonekana serikalini, hasa nikiangalia kelele za Gwajima kuhusu Corona na vile hapajakuwepo mkakati maalum wa kumfunga mdomo.

Lakini pia, nikiangalia upande wa pili wa Msoga naona kama wapo dormant ila wanafukuta kwa chini, mabadiliko yajayo ya baraza la mawaziri kama yatakuwepo naona yatatoa picha nzuri tujue nini kiko kichwani kwa mama.
 
🤫
 
Kundi la Magufuli selikalini ni lipi?
 
Watz walivyo wapumbavu utakuta huu uzi umejaa coments zaidi ya 500
 
Sawa kipanga kwa ubunifu
 
Mawazo ya mwenye akili mfu kwa wenye akili hai hayabadilishi mtazamo wowote
 
Masalia yanaangaika sana hayaamini kama mungu wao kafa yanatamani lizuke balaa nchi iyumbe,ni kama wachawi fulani.
 
Watz walivyo wapumbavu utakuta huu uzi umejaa coments zaidi ya 500
Sasa na wewe si umejiunga na orodha ya wapumbavu maana kati ya comment 500 za wapumbavu, wewe ni mpumbavu wa 499...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…