britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo
1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4
2. Baraza la mawaziri alibadili taratibu bila kukurupuka ili kuendelea kuwa hadaa wananchi kwamba they are the same with Magufuli, hakulibadili sana ila alifanya changes kidogo tu!
3. Report iliyokaguliwa ná kugundua Makamu na Viongozi wakubwa pale B.O.T wanahusika ilibidi wapewe maelezo kimya Kimya kurejesha pesa na kuwajibishwa kwa namba yao
4. Jeshi liliahidi kushika kwa Muda nchi kwa kusaidiana na Mamalakin naona bado Mabeyo anaendelea kushika Kwa maagizo fulani fulani (kwa baadhi ya mambo mama akiwa kama kivuli tu)
Muda unapita siku 120 walizoahidiana kwenye dokezo sasa zimeenda mpaka siku 200!
matatajio yake yatakuwa Magumu maana ni vigumu kuenda nje ya mzimu wa Magufuli unaomtafuna Kwa kuwabakiza wanaomini kwamba bila wao na Magufuli kazi haiendi
Britanicca