TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
Kitu mpaka kiende leba....piga mzigo mwenetu. Ukishindwa lete nikusaidie
Ww co prease n please kuwa makini. Hakuna mwisho wa kumwingilia mwanamke mjamzitoBinafisi nashidwa kujua ni muda au miez mingapi mama mjamzito anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama atashili ndani ya muda huo ni madhala gani yataweza kutoke kati ya mama au mtoto.
Kitu mpaka kiende leba....piga mzigo mwenetu. Ukishindwa lete nikusaidie
Kwa mujibu wa tafiti kudinyana kunaweza kukopa pale tu inapofikia wiki moja kabla ya kujifungua.
Na mwanamke mjamzito huwa anafurahia tendo la ngono kuliko mwanamke asiye na ujauzito.
Kudinyana ili neno linatumika sana kwetu mtwara km tafsida
duuu!miez tisa ila usimlalie tumbon uwe unapiga kiubavuubavu!
Ww co prease n please kuwa makini. Hakuna mwisho wa kumwingilia mwanamke mjamzito