Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
 
Kitu mpaka kiende leba....piga mzigo mwenetu. Ukishindwa lete nikusaidie
 
Kwa mujibu wa tafiti kudinyana kunaweza kukopa pale tu inapofikia wiki moja kabla ya kujifungua.
Na mwanamke mjamzito huwa anafurahia tendo la ngono kuliko mwanamke asiye na ujauzito.
 
Wewe ni he au she?
Muda wowote ambao mwanamke atajisikia.
wengine wanafanya hadi mwezi wa 9.
Muhimu ni position.
 
yategemea na hali ya huyo mama...kuna wengine from day one, kuna wengine mpaka labour time
 
Siku anapopata mimba tu inapaswa kuwa mwisho. Anaruhusiwa tena miezi 6 baada ya kujifungua...
 
Binafisi nashidwa kujua ni muda au miez mingapi mama mjamzito anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama atashili ndani ya muda huo ni madhala gani yataweza kutoke kati ya mama au mtoto.
Ww co prease n please kuwa makini. Hakuna mwisho wa kumwingilia mwanamke mjamzito
 
Kitaalam hakuna madhara yoyote kufanya akiwa mjamzito. Kuanzia siku ya kwanza ya mimba mpaka anapata uchungu ni RUHUSA kufanya.

Wakati pekee atatakiwa kuacha ni pale atakapoanza uchungu au akiwa na shida maalum ya kiafya ambayo daktari atapendekeza kuacha.
 
Kwa mujibu wa tafiti kudinyana kunaweza kukopa pale tu inapofikia wiki moja kabla ya kujifungua.
Na mwanamke mjamzito huwa anafurahia tendo la ngono kuliko mwanamke asiye na ujauzito.

Kudinyana ili neno linatumika sana kwetu mtwara km tafsida
 
Ahahahah namie najifunzia hapa hapa..then ntachekecha nakuchanganya na akil zangu na za mamaa mwakan nikishapata mke na kumpa mimba ntazitumia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
duuu!miez tisa ila usimlalie tumbon uwe unapiga kiubavuubavu!
 
Kitaalamu mpaka siku anazaa ila wanawake wanatofautiana wengine wanakuwa full nyege wengine hawataki kusikia suala la tendo la ndo ila tu sperm za mwanaume zinasaidia siku za mwisho kabla mwana mke hajajifungua
 
wote waliokushauri hawajakupa tahadhari ya mtoto kung'ata mboo,kuwa makini kaka
 
unaweza kumwingilia muda wote anaojisikia vizuri pia mbegu husaidi kufungua njia ya uzazi
 
Back
Top Bottom