Yiluselekwilanga
Member
- Dec 6, 2012
- 10
- 3
Du! Ndoa zinakazi!
Kufanya sex na mjamzito mwisho wake ni lini?????? tusaidiane
kama ni ujauzito wa katoto ka kike basi kuna uwezekano na kenyewe kushika ujauzito huko huko tumboni...halafu usisahau pia kama katoto ka kiume basi katazaliwa kashoga...
#JustKidding
Mtani snowhite hebu pita hapa utanue mbavu kidogo maana nimekuona mitaa hii.
mtani!
nenge la mke mjamzito usilifanyie utani bana!oh!we acha tu
Hata mi yanisaidia hii mada.
jibu murua kabisaMuda wote unafaa hadi some hours kabla hujaenda kujifungua
nimekuja speed nilifikiri umeweka some points kumbe unauliza?
teh teh
Upo sawa mkuu ila kama hataki usimlazimisheMuda wote unafaa hadi some hours kabla hujaenda kujifungua
nimekuja speed nilifikiri umeweka some points kumbe unauliza?
teh teh
mapenzi ya kulazimisha hata kama yuko without mimba ni ubakaji na sio afyaUpo sawa mkuu ila kama hataki usimlazimishe