Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

Muda wote unafaa hadi some hours kabla hujaenda kujifungua
nimekuja speed nilifikiri umeweka some points kumbe unauliza?

teh teh
Kuna mimba inakuja vibaya kwa mwanamke anapenda kufanya mapenzi hatari!! Akikuona tuu kalowana ila uzuri anakuwa wa motooo na kama hayuko stressed na mimba imemkubali anakuwa mzuriii.

Inahamasika kutafuna tu pasina kuchoka
 
Kuna mimba inakuja vibaya kwa mwanamke anapenda kufanya mapenzi hatari!! Akikuona tuu kalowana ila uzuri anakuwa wa motooo na kama hayuko stressed na mimba imemkubali anakuwa mzuriii.

Inahamasika kutafuna tu pasina kuchoka
haya tumekusikia
do you have any experience on that? au ni mastori tu ya vijiweni?

jst curious to know
 
Nikosa kufanya mapenzi na mjamzito, Kimaumbile nikosa, Mfano mdogo hakuna kiumbe yeyote anaefanya tendo ktk muda wakulea mimba, ila Tendo hili limegundulika ktk maisha yasasa ya kibinaadam, zamani hapakuwepo matendo machafu kama hayo, Ndio maana enzi hizo watu waliowa hadi wake wa4. Lakini mzungu akaleta mpango wake wa kitaalam na umesha enea, Ngoja nikwambie kitu hapa!, Enzi hizo kwanza kulala na mwanamke mjamzito kitanda kimoja nikosa sana, na ukifanya hivyo unashtakiwa nyumbani na kutafanyika kikao cha mjadala juu ya kosa hilo. Lakini sikuhisi mambo yapo kitaalam zaidi, tukiamini tupo sahihi zaid kumbe kwishne
 
Muda wote unafaa hadi some hours kabla hujaenda kujifungua
nimekuja speed nilifikiri umeweka some points kumbe unauliza?

teh teh
dah bora aisee maana wengine hatuwezi kuchepuka
 
dah bora aisee maana wengine hatuwezi kuchepuka
kuchepuka ni hatari kwa afya kama UKIMWI
ukikamatwa ndo shida but usipokamatwa ni faida

NB. kukamatwa imegundulika ni rahisi zaidi ya kutokamatwa
 
Shem uko vizur
shem bhana, naelewaga hii mambo na utamu ukutu biologia zenu zinapendana sasa ndo utafurahia maisha
sasa kwa nini uache na unapata raha? hii dunia kila mtu anatafuta raha
wanaotafuta hela wanatafuta kwa ajili ya raha and everything goes like that
Mzima lakini shem wangu wa ukweli?
 
usitufundishe uoga mkuu
kama wewe bado kwenye analogia endelea lakini sisi hatutafata ushauri wako kamwe
loooh kumbe kuna viumbe bado wanaamini kuwasha moto kwa mawe ndo vizuri kuliko kutumia kiberiti?
utabaki hapo
 
Mimi tulipomaliza kugegedana na wife hapohapo akapata uchungu nikachukua tax nikamkimbiza Hospitali kujifungua
Mliwapa shida sana wazalishaji kuchezea utelezi wakati wa kumpima ,mmmh wauguzi wana kazi.
 
haya tumekusikia
do you have any experience on that? au ni mastori tu ya vijiweni?

jst curious to know
I have two children, not bilogical father (kwamba nimepiga mimba nikasepa)!! Totally responsible father, natungisha mimba nalea mpaka anajifungua na sasa nalea watoto!! Japo nipo mbali kwa majukumu ya maisha lakini nipo nao close sana!!

Uliza kingine!!
 
Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?


Cc : anae faham

Kumbemenda mtoto sio kufanya mapenzi wazazi wake. Ni kuchepuka wakati katoto kananyonya. Unachafua maziwa ya mtoto kwa kuileta harufu nyingine kwake mtoto. Mapenzi mnafanya hata ikiwezekana dakika 5 na mama aanzwe uchungu ila staili ndio ina matter sana. Usijeingiaa deep sana au ukamkunja mama saana lakini zipo njia sahihi tu bila kumuathiri kijacho.
 
Duuu!!!!! Kwani ukifanya naye baada ya week 2,ataumia?

Kabila zingine za kule kanda ya ziwa wanaamini kuwa akitoka tu hospitali lazima mzee aingie kwake ili kumfungulia maziwa mtoto. Yaani siku hiyo hiyo alipojifungua. Kama yupo mwenyeji wa huko mkweli aje anipinge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…