Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Ni kweli mkuuMzee analipendezesha sana jukwaa la historia. Huyu ni hazina kwa taifa letu maana anaifahamu vizuri na kwa undani historia ya nchi yetu tokea kipindi kabla ya harakati za uhuru, wakati wa harakati zenyewe na baada ya hapo.
Unfortunately kuna watoto humu huwa wanamjibu hovyo hovyo na kumkejeli sana. Uzuri ni kuwa mzee ana busara wala huwa ha panic na huwajibu vizuri tu kwa hoja na kistaarabu.
Pongezi nyingi sana mzee wangu Mohamed Said. Wewe ni hazina kubwa kwa taifa letu.
Mitche...Hongera sana Mohamed Said kwa zawadi.
Tunashukuru kwa mchango wako wa kipekee katika uandishi wa historia ya nchi yetu.
Hongera Maxence Melo na timu nzima ya JamiiForums kwa kuandaa shindano la Stories of Change.
Ni shindano lililoleta tija kubwa.
Mohamed Said shikamoo babaMUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF
Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza.
Ameifanyia Tanzania makubwa.
JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili.
Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua.
Sina cha kuwalipa.
MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
View attachment 1977049
Sang'...Upunguze udini.
Mungu ibariki JfMUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF
Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza.
Ameifanyia Tanzania makubwa.
JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili.
Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua.
Sina cha kuwalipa.
MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
View attachment 1977049
Glenn,@Mohamed Said shikamoo baba
Ery...Mungu ibariki Jf
JK,Mohamed Said,
..hongera sana kwa kupata tuzo kutokana na uandishi wa historia.
..lakini mimi nadhani unastahili pia tuzo ya nidhamu na adabu ktk majadiliano/ mnakasha.
..natumai iko siku uongozi wa JF utalitambua hilo na kukupatia tuzo yako.
Huwa ninamsoma tu babaGlenn,
Marahaba.
Unamfahamu John Glenn?
Ery...
Amin.
Amefanya jambo la maana mno, japo nina uhakika kuna wahafidhina wameghafirishwa sana na hiki kitendo.
Mzee muungwana sana na msema kweli.Amefanya jambo la maana mno, japo nina uhakika kuna wahafidhina wameghafirishwa sana na hiki kitendo.
Mtu kama Mzee Mohamed Said ilibidi atambulike kuanzia ngazi ya kitaifa na apewe heshima zake stahiki.
VL,Hongera sana mzee wetu, baba yetu, na hazina yetu hapa jf na tz kwa ujumla, ata unavyowajibu vijana wasio na adabu unadhihirisha hekima kuwa sana ambayo inatakiwa kuwa soma kwetu sote, Mungu azidi kukulinda na kukupa maisha marefu zaidi mzee wetu, tunabarikiwq nawe hapa jf.
Glenn,Mzee muungwana sana na msema kweli.
Japo inaonekana kuwa anaegemea dini flani lakini nani asiyekuwa na upande?