Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #41
Cariha,Hongera sana, endelea kuandika mada nzuri za zamani tuendelee kujifunza na ibaki kumbukumbu kwa vizazi vya Sasa na vijavyo. Big up
In Shaa Allah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cariha,Hongera sana, endelea kuandika mada nzuri za zamani tuendelee kujifunza na ibaki kumbukumbu kwa vizazi vya Sasa na vijavyo. Big up
Citizen...
Ungeweza kuandika naneno haya kwa adabu na heshima na maana ikabakia ulivyokusudia.
Namna hii unanitisha kuwa patakuwa na kunivunjia adabu.
Sijibu kitu kuepusha shari.
Mtoto...Hongera sana mzee, kama tulishapishana kauli unisamehe
Ahsante sana.View attachment 1979051
Mzee wangu,
Huyo kijana ndivyo alivyo. Ntakupa siri siku moja ni kwanini he is in my ignore list.
By the way, hongera sana Mzee wangu.
Asante Sana Mzee wangu Alexandre Dumas PeréDumas...
Siku moja nakata mitaa Paris nikakuta mtaa unaitwa Alexandre Dumas.
Huyu bwana kaandika vitabu kadhaa lakini ninachokipenda ni ''The Count of Monte Cristo.''
Ikiwa hujakisoma tafuta movie yake.
Hongera sana Baba, dah nilikuwa na taswira tofauti kichwani kwanguMUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF
Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza.
Ameifanyia Tanzania makubwa.
JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili.
Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua.
Sina cha kuwalipa.
MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
View attachment 1977049
Hakika umri wako,unaendana na busara zako,maana haijalishi utajibiwa vipi na membe wa humu iwe ni kwa matusi au dhihaka hukuchoka kujibu kwa busara na kauli yenye kumnyongonyeza aliyekujibu kwa ubaya.MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF
Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza.
Ameifanyia Tanzania makubwa.
JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili.
Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua.
Sina cha kuwalipa.
MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
View attachment 1977049
Muuza Viatu,Wachache sana wameweka alama chanya ktk hili jukwaa,hongera Ulamaa
huyo Babu yetu mkuu anastahili heshima yake!Kumbe ni mtu mzima hivi.
Sasa itabidi niwe na heshima huku babu zangu ni wengi.
Dumas,huyo Babu yetu mkuu anastahili heshima yake!
Jerry...Hakika umri wako,unaendana na busara zako,maana haijalishi utajibiwa vipi na membe wa humu iwe ni kwa matusi au dhihaka hukuchoka kujibu kwa busara na kauli yenye kumnyongonyeza aliyekujibu kwa ubaya.
Allah akupe umri mrefu hakika tunajifunza mengi toka kwako
Mzee analipendezesha sana jukwaa la historia. Huyu ni hazina kwa taifa letu maana anaifahamu vizuri na kwa undani historia ya nchi yetu tokea kipindi kabla ya harakati za uhuru, wakati wa harakati zenyewe na baada ya hapo.Hongera sana Mzee Mohamed Said, Kumbe Jamii Forums tuna hazina nzuri ya wazee.Hongera nyingi pia kwako Maxence Melo, kazi nzuri, keep up!
Chalii...Mzee analipendezesha sana jukwaa la historia. Huyu ni hazina kwa taifa letu maana anaifahamu vizuri na kwa undani historia ya nchi yetu tokea kipindi kabla ya harakati za uhuru, wakati wa harakati zenyewe na baada ya hapo.
Unfortunately kuna watoto humu huwa wanamjibu hovyo hovyo na kumkejeli sana. Uzuri ni kuwa mzee ana busara wala huwa ha panic na huwajibu vizuri tu kwa hoja na kistaarabu.
Pongezi nyingi sana mzee wangu Mohamed Said. Wewe ni hazina kubwa kwa taifa letu.
SMU,Hongera sana Mohamed Said kwa tuzo hiyo ya JF. Unastahili. Vijjana (na hata wazee) tuna mengi na makubwa ya kujifunza kutoka kwako. Binafsi napenda uandishi wako/namna yako ya kusimulia mambo.
Hongera JF kwa kazi kubwa Maxence Melo . Nipo hapa JF kwa zaidi ya miaka 13. Huwa natamani sana wenye mamlaka waone thamani kubwa ya uwepo wa JF labda pengine wataacha "kuwasumbua"!
Asanteni sana
Kurunzi,Hongera sana Baba, dah nilikuwa na taswira tofauti kichwani kwangu
AaminHakika umri wako,unaendana na busara zako,maana haijalishi utajibiwa vipi na membe wa humu iwe ni kwa matusi au dhihaka hukuchoka kujibu kwa busara na kauli yenye kumnyongonyeza aliyekujibu kwa ubaya.
Allah akupe umri mrefu hakika tunajifunza mengi toka kwako