K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Achana na hayo makundi, aende moja kwa moja msitari wa mbele vitani kama alivyofanya Russia kwa Ukraine, hajategemea vikundi alivyovifadhili pekee kama Wegner.Hezbollah = Iran
Houth = Iran
Islamic resistance = Iran
Iran anampiga kila siku Israel kama hujui.
Iran na yeye aende hadharani pale Israel aue mamia au makumi kadhaa hadharani kama Israel afanyavyo dhidi ya Iran ili tuone nini kitatokea.
Maneno matupu bila vitendo hayatoshi, hata USA na Israel kuna vikundi vya wapiganaji wanavifadhili, lakini linapokuja suala la vita hata wao wanaonekana mstari wa mbele kupambana sio vikundi vyao pekee vipiganavyo tena kwa kificho.