DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Utoto raha. Unafikiri thamani ya mwanamke iko kwenye sura tu. Unaweza kuachwa na binti modeli hiyo ukachanganyikiwa ukajikuta unaitoroka “pisi kali” kwenda kuipigia magoti hiyo sura ngumu isikuache! Bora usiguse kabisa kama sura kwako ni kila kitu.’Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri katika Maisha ili baadae uje ujinyakulie pisi ya kwenda bila tatizo .
Haya wale warembo wa jf wenye sura personal jamaa katoa fursa huku....Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri katika Maisha ili baadae uje ujinyakulie pisi ya kwenda bila tatizo .
Utashangaa watu bado watampelekea moto mbususu yake lamoja na sura personalWife material wangu ni sura ya Baba sitaki kushea na kijiji
Karma ???Wife material wangu ni sura ya Baba sitaki kushea na kijiji
Ulishanunua Kitanda na Godoro used kijana??tuanze na hilo kwanzaKiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri katika Maisha ili baadae uje ujinyakulie pisi ya kwenda bila tatizo .
SijafastUlishanunua Kitanda na Godoro used kijana??tuanze na hilo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kuna manzi alikua na sura ngumu balaa ilijilengesha yenyewe nikawa najipigia kisela. Wahuni baada ya kuona duh mpaka Mr Kactus anakula hii chuma basi itakua ni pisi ya kwenda, wakaanza kuisumbua sumbua na mwisho wa siku tukabwagana...Utashangaa watu bado watampelekea moto mbususu yake lamoja na sura personal