Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

Yeye na Higuain walikua wanakosa sana Magoli, Ronaldo alikua anawatengenezea. wengi wana recency bias ila ujana wake Ronaldo alikua Mtengenezaji mzuri sana hadi 20 Assist kwa msimu.
 
Suarez ka prove Liverpool, Barca na Atletico Je Benzema?
ALichoonesha benzema madrid na lyon kinanitosha..
Mimi si mpenzi saana wa takwimu, napenda saana kile ninachokishuhudia kwa mcjezaji.

Wewe unataka ubishi.. wote nawaweka daraja moja, lakini kwangu kwa aina ya uchezaji wa benzema, namkubali zaidi yeye kuliko suarez..
 
Spirit ya kupambana aliyonayo Suarez huwezi kuipata kwa Benzema.
 
Yeye na Higuain walikua wanakosa sana Magoli, Ronaldo alikua anawatengenezea. wengi wana recency bias ila ujana wake Ronaldo alikua Mtengenezaji mzuri sana hadi 20 Assist kwa msimu.
Hizo ambazo Ronaldo alikuwa akiassist ni pale ambapo hakuwa na namna ila timu ilikuwa inamtazama yeye kama mfungaji wakati yeye akiwa ni winger tu.

Suarez alikuwa ni hatari na alichukua kiatu sababu Messi hakuwa na uchoyo na alikubali jukumu la kufunga liende kwa striker. Benzema angekuwa Barca na akina Messi na Iniesta, angeacha legacy kubwa pale kuliko hapo Madrid.
 
Kitu ambacho Ibrahimovic, Henry, Villa, Benzema, Diego costa, Forlan n.k walishindwa.
Henry sio kizazi cha kina Ronaldo na Messi lakini, Henry Anazeeka tena ndio hao wanatoka. Pia hakua no 9 alikua akitokea Pembeni kama Ronaldo na Messi.
 
Kipindi hicho alikuwa wa moto sana,kweli jamaa alibeba sifa zoote za kipambanaji
 
Suarez alikuwa moto sana
Nakumbuka alifungiwa mechi zaidi ya 3 kama sijakosea epl ila aliporudi alikiwasha na kiatu akachukua
 
Jamaa alikua Mnyama sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…