Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Benzema wa Lyon pia alikua moto, kama ulimuona, alikua anagombaniwa na Vilabu vingi,Suarez ka prove Liverpool, Barca na Atletico Je Benzema?
Kama Alivyokua Mbappe Monaco, Benzema pia alikichafua sana UCL na Lyon.