Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

I get what you say. I'm not a party man.
Kubwa ni lipi kumtoa Lisu kwa nguvu ya umma gerezani au like lililofanyika mwaka jana?
Ukimiuliza Mimi nitasema kitendo Cha mwaka jana ni kikubwa kuliko kumtoa Lisu.
Hivyo, kama watu waliingua barabarani bila vyma Wala Lisu basi hawa watu si watu chama. Hivyo wanaweza wakamuacha Lisu jela si kwamba wameshindwa kufanya ya mwaka jana ila wanaona Lisu siyo factor kwao. Wao Wana mambo Yao ambayo labda Lisu ni sehemu tu ya mambo yao. So kuhusisha maneno ya chadema na kumtoa Lisu inaweza ikawa siyo sawa maana kuingia kwa barabarani mwaka jana kwa wale watu sidhani kama ni maneno ya chadema unless you prove.
By the way am as objective na Sina emotions za vyama.
 
 
Hii naisevu kama reference.
 
Chadema wanatumia mode ya ķizaman kwenye kufanya siasa
Huwezi kuwa unafanya siasa za kuzunguka hizo ni siasa za kizamani

We jiulize inakuaje mtu anaishi marekani ana miaka zaidi ya 10 hajawahi kanyaga Tanzania ila ana-mobilise jambo na linafanikiwa

Siasa ya sahivi inajikita kwenye social media na podcast unaweza wafiki million 1 ndani ya masaa kadhaa lakini ukisema ufanye tour ya kisiasa kama ya chadema utatumia gharama kubwa sana na utachukua mda mrefu

Na namna ya kudeliver jumbe zao bado chadema hawana watu wanaoweza gusa mioyo ya watanzania heche, lema wanakosa ile art ambayo anayo mangekimba

Wananchi wanamatatizo kibao ila ni hard kuona chadema wakiongelea na hata wakiongelea wanaongelea juu juu
 
Kutoka kuwa mama mwenye kuupiga mwingi hadi kuwa mama muuaji wa wengi
 
Ni kweli sana
 
Mkuu Hammaz nimekucheck pm Mkuu
 
Hapa nawaza inawezekana hata waliokuwa wanauwa ovyo huenda ni ISS au kundi lenye mwelekeo kama huo na ambalo lipo kwa kazi hiyo
 
Hili nalo litapita japo kwa maumivu makali sana.
Tuna la kujifunza na mabadiliko lazima yatokee tu.
Mafuriko hayazuiliwa kwa mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…