Mnataka tufe kwa njaa? Njaa itatuua wengi kuliko korona!Naunga hoja mkono
Kumbe hujui kwanini babaako kakimbia Dar?Ngoja Bashite naye awakimbie ndio mtajiongeza.Watu wapuuzi sana/ nibora huko mikoani wazuiwe kuja dsm lakini kutuweka kweny lockdown aiwezekani.
Italy wameshindwa kwa mbinu hii. Urahisi ni kufunika mdomo na pua, mgonjwa akihisi kuambukizwa asitoke nyumbani apige simu (bongo naona 199) maana akipanda mwendo kasi ataacha virusi. Tofauti na hapo tusubiri lock down tufe njaa ingawa wanasiasa wanasema hakuna lockdown.Kinachotakiwa kufanyika ni kusambaza vifaa vya kupimia kila kata ili watu wapimwe kwa wingi kila siku iendayo kwa Mungu