Kwa hiyo unashauri nini kifanyike sasa,kwa sababu hawa wakiugua Corona hawataweza kwenda kutafuta hicho wanachokitafuta?Una hoja msingi. PNC,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi katika umri wako wote ushawahi kuona hata mara moja abiria mmoja kutoa hela kwenye daladala na kulipia watu nauli kwa kujitolea tu?Mkuu kwa wale watu wa Dar watanielewa kwamba kupeana nauli na kununuliana chakula ni kitu cha kawaida sana na kimesha zoeleka
Siungi mkono hoja! Hali na mazingira yetu hayaruhusu hatua hiyo ya kuliweka jiji katika karantini. Madhara ya kufanya hivyo ni mabaya zaidi kuliko corona yenyewe! Tusichukue hatua kwa kuiga wengine.Naunga hoja mkono
Asante sana!! Huzuiwi MTU ns familia yako kujiwekea lock down/ kujifungia!! Mtoa uzi anza wewe na familis yako kujifungia kwa uaminifu kwa wiki 4 halafu njoo hapa utupe mrejesho!!Kama mnataka lock down, fanyeni iwe binafsi. Yaani kaeni nyie na familia zenu ndani.
Waacheni watanzania waendelee na shughuri zao za kila siku ila kwa kuchukua tahadhari.
Wa kukaa ndani, akae asikatazwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuie watu kuingia Dar na pia watu kutoka nje ya Dar.Watu wapuuzi sana/ nibora huko mikoani wazuiwe kuja dsm lakini kutuweka kweny lockdown aiwezekani.
Wamikoani wasiingie dsm na wa dsm wasitoke kwenda mikoani,dsm waendelee na kuchapa kaz wenyewe,hii itasaidia kutosambaza kirusi mikoaniWatu wapuuzi sana/ nibora huko mikoani wazuiwe kuja dsm lakini kutuweka kweny lockdown aiwezekani.
Mkuu hii comment imenichekesha mno 😀😀😀😀Hatukubali, na nyie mletewe kama sie tulivyoletewa
Kwani sie hii corona tulizaliwa nayo?
Mwenge hauruki kijiji, jiandaeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipuuza ushauri wa kitaalamu au usubiri hadi Serikali itakapoweka karantini, kama unavyoshauri, utaambukizwa na kupoteza maisha.Kwako Mkuu wa mkoa wa Dar au mamlaka ya juu (rais)
Kwa kazi ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 na takwimu zinazotolewa kila siku na mheshimiwa waziri wa afya Ummy Mwalimu, ni dhahiri kuwa jiji la Dar limekuwa kitovu cha ugonjwa huu hapa nchini.
Nashauri mamlaka husika mfuate ushauri wangu ili kupunguza kazi ya maambukizi nchi nzima.
Ikiwapendeza au ikiwezekana ushauri huu ufanyiwe kazi mapema iwezekanavyo kwa kuwa kila siku mabasi na vyombo vya abiria vinaingiza na kutoa watu kwenye hilo jiji.
Naomba kuungwa mkono.
Nawasilisha.