Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa.Wewe umelazimishwa kuja dar?? Ebu baki zako uko kwenu ngopyoro uone km kuna atakaye angaika na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza ukatuambia nchi gani imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa huu kwa hiyo LOCKDOWN mnayoipigia chapuo?Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19.
KWANINI NIMEWAZA HIVYO?
Interaction ya Dar na maeneo mengine ya nchi hii italeta shida sana. Sasa hivi hakuna mjadala tena sasa hivi serikali inazuia maambukizi ya ndani kwa ndani na jiji la dar ndo limekuwa na cases nyingi zaidi za huu ugonjwa.
further reading
Wuhan ends coronavirus lockdown – in pictures
Coronavirus - Quora
NCHI YOYOTE ILIYOWEKWA IN LOCKDOWN MAAMBUKIZI WAMEFANIKIWA KWA ASILIMIA KUBWA KUTHIBITI USAMBAAJI WA C19. COVID-19 MapMkuu unaweza ukatuambia nchi gani imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa huu kwa hiyo LOCKDOWN mnayoipigia chapuo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kuhusu wafanya biashara wa hizo bidhaa km dereva, utingo, sokoni, nk kama wanaweza kujikinga na maambukizi, ni wazi kuwa hata wateja wao wanaweza. Hoja hii ina maana kuwa iwapo hao hawatachukua tahadhari za maambukizi watasambaza Dar na Mikoani walikotoa au kupeleka bidhaa.Nakubaliana nawe ila elewa maana yangu; NINAPOSHAURI KUFUNGWA KWA JIJI NAMAANISHA WATU WALIOKO DAR WAENDELEE KUFANYA KAZI (KWA TAHADHARI) WASITOKE NJE YA DAR NA WALIOKO NJE YA DAR WASIENDE DAR.
Kwa maana hiyo kuenea kutadhibitiwa Dar na maambukizi hayatasambaa kwa kasi sana.
Pia kuhusu vyakula, magari ya mizigo yanaweza kupeleka vyakula na ni rahisi kuyanyunyizia madawa kabla na baada ya kuingia/kutoka Dar.
Hivyo hivyo na mizigo ya biashara Inawezekana ikapelekwa mikoani kuwa utaratibu huo wa magari ya mizigo ambayo ni rahisi kuyadhibiti.
Serikali imekwisha kutoa ushauri wa jinsi ya kujikinga kwa maambukizi na inaendelea kusimamia utekelezaji wake. Ni jukumu la kila mwananchi kuzingatia ushauri huo kwa hiari.Kwa maneno yako una maanisha mwananchi asiitegemee serikali maana haina hadhi ya kuaminiwa wala kutegemewa na wananchi!!
Korona ilianza baada ya serikali kukaidi kuzuia ndege na kufunga mipaka, sasa hivi hali imekua mbaya mnasema mwananchi ajilinde je wakati wa kuzuia ndege mlitaka wananchi wazizuie?
Korona imetupa picha halisi ya serikali yetu!!
Kama unataka lockdown si ukae kwako ujifungie wewe na familia yako kwani nani atakuzuia.
Yaani watanzania wafe kwa njaa kisa Corona hebu tutumie akili kidogo tu kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawaijui kesho yao itakuwa vipi.
Sasa mnavyolazimisha lockdown wewe utawapelekea chakula au kisa baadhi yenu mnaotaka Hilo jambo mko vizuri kiuchumi na mmeajiriwa serikalini hali ya kuwa huko vijijini watu kula tu imekuwa shida halafu unataka wafungiwe wenzio ndani huu ni upumbavu uliopitiliza
NI KWELI CORONA INAUA NA LAZMA TUCHUKUE HATUA ILA LOCKDOWN NI JANGA KUBWA KULIKO CORONA
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshachelewa sn mkuu......tayari mikoa 19 imeshaambukizwa kwa hiyo hakuna Stori ya Dar hapo ni nchi nzima umeshasambaa....Tunawaomba viongozi wetu mtusikie.Japo nyie ndiyo kama wazazi wetu kwa sasa katika kupambana na hili Janga la Covid 19,mwajua zaidi yetu na kinachotufaa.
Natoa wito na ombi mfunge Mipaka ya Jiji la Dsm,magari ya mizigo ya lazima na vyakula tu yaruhusiwe.Wazee wetu huko mikoani wapo kwenye risk kubwa sana.Msisubiri ugonjwa usambae zaidi.
Msishupaze shingo jamani,hata nyie mna ndugu na jamaa wa ambao mnaweza kuwapoteza vile vile.Ukizingatia kuwa tuna upungufu wa vifaa na nguvu kazi.
Tafadhali jamani,walau muwe na huruma japo kidogo tu;hayo mapato mnayotatafuta mnaweza mkayapata na mkashindwa kuyatumia vile vile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekimbilia chato kujificha huko wao wasubiri mlipuko utakapolipuka watatafutwa huko huko walikojifichaTunawaomba viongozi wetu mtusikie. Japo nyie ndiyo kama wazazi wetu kwa sasa katika kupambana na hili Janga la Covid 19, mwajua zaidi yetu na kinachotufaa.
Natoa wito na ombi mfunge Mipaka ya Jiji la DSM, magari ya mizigo ya lazima na vyakula tu yaruhusiwe. Wazee wetu huko mikoani wapo kwenye risk kubwa sana. Msisubiri ugonjwa usambae zaidi.
Msishupaze shingo jamani, hata nyie mna ndugu na jamaa wa ambao mnaweza kuwapoteza vile vile. Ukizingatia kuwa tuna upungufu wa vifaa na nguvu kazi.
Tafadhali jamani, walau muwe na huruma japo kidogo tu; hayo mapato mnayotatafuta mnaweza mkayapata na mkashindwa kuyatumia vile vile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Itapata huko alikoenda kujificha anajiita jiwe Wakati muoga amekimbia na makamu wake wamekimbia wote sijui wamejificha wapi na mwisho waziri Mkuu nae atakimbia tutapaki wenyewe sasa kila mtu atapaki akijichukulia hatua mwenyewe pasipo muongozo wa wowote wa nchiUmeshachelewa sn mkuu......tayari mikoa 19 imeshaambukizwa kwa hiyo hakuna Stori ya Dar hapo ni nchi nzima umeshasambaa....
Viongozi wetu wanazidi kutuangamiza kwa kukosa maarifa wanatutaka tuchape kazi huku wao wamejichimbia kusikojulikana...
TUMECHELEWA MARA MBILI...
1. JIWE ALIKATAA KWA KIBURI CHA KISHAMBA KUFUNGA MIPAKA YA NCHI ETI TUSIKOSE WATALII
2.JIWE AMEENDELEA KUKATAA KUIFUNGIA DAR PAMOJA NA USHAURI WA MH MBOWE MARA MBILI ETI TU KWA SABABU NI KAULI YA MBUMGE KUTOKA UPINZANI
Tunawaomba viongozi wetu mtusikie. Japo nyie ndiyo kama wazazi wetu kwa sasa katika kupambana na hili Janga la Covid 19, mwajua zaidi yetu na kinachotufaa.
Natoa wito na ombi mfunge Mipaka ya Jiji la DSM, magari ya mizigo ya lazima na vyakula tu yaruhusiwe. Wazee wetu huko mikoani wapo kwenye risk kubwa sana. Msisubiri ugonjwa usambae zaidi.
Msishupaze shingo jamani, hata nyie mna ndugu na jamaa wa ambao mnaweza kuwapoteza vile vile. Ukizingatia kuwa tuna upungufu wa vifaa na nguvu kazi.
Tafadhali jamani, walau muwe na huruma japo kidogo tu; hayo mapato mnayotatafuta mnaweza mkayapata na mkashindwa kuyatumia vile vile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee kuvumilia labda watajitokeza wakiguswa na upepo wa kisulisuliItapata huko alikoenda kujificha anajiita jiwe Wakati muoga amekimbia na makamu wake wamekimbia wote sijui wamejificha wapi na mwisho waziri Mkuu nae atakimbia tutapaki wenyewe sasa kila mtu atapaki akijichukulia hatua mwenyewe pasipo muongozo wa wowote wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app