Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
too lateTunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19.
KWANINI NIMEWAZA HIVYO?
Interaction ya Dar na maeneo mengine ya nchi hii italeta shida sana. Sasa hivi hakuna mjadala tena sasa hivi serikali inazuia maambukizi ya ndani kwa ndani na jiji la dar ndo limekuwa na cases nyingi zaidi za huu ugonjwa.
further reading
Wuhan ends coronavirus lockdown – in pictures
Coronavirus - Quora
Dar kwa sasa ni mzee wa ku - supply virus......mikoani nako vimeana kutema tu.Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19.
KWANINI NIMEWAZA HIVYO?
Interaction ya Dar na maeneo mengine ya nchi hii italeta shida sana. Sasa hivi hakuna mjadala tena sasa hivi serikali inazuia maambukizi ya ndani kwa ndani na jiji la dar ndo limekuwa na cases nyingi zaidi za huu ugonjwa.
further reading
Wuhan ends coronavirus lockdown – in pictures
Coronavirus - Quora
Kama unataka lockdown si ukae kwako ujifungie wewe na familia yako kwani nani atakuzuia.
Yaani watanzania wafe kwa njaa kisa Corona hebu tutumie akili kidogo tu kuwa asilimia kubwa ya wananchi hawaijui kesho yao itakuwa vipi.
Sasa mnavyolazimisha lockdown wewe utawapelekea chakula au kisa baadhi yenu mnaotaka Hilo jambo mko vizuri kiuchumi na mmeajiriwa serikalini hali ya kuwa huko vijijini watu kula tu imekuwa shida halafu unataka wafungiwe wenzio ndani huu ni upumbavu uliopitiliza
NI KWELI CORONA INAUA NA LAZMA TUCHUKUE HATUA ILA LOCKDOWN NI JANGA KUBWA KULIKO CORONA
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali fikirishi je tuna kipimo cha kupata majibu ndani ya dk 15 km nilivyo ona chinaWangeweka kituo cha upimaji pale Ubungo Bus Terminal ingesaidia sana, na hao wakimbizi wote wavae mask, sio kukimbia Corona Dsm, halafu wanaenda ambukizana ndani ya Bus then wanaipeleka vijijini kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahahahahaMwingine aliloweaga Dar miaka mingi kakuta nyumba ya babu yake alipokulia ilishakuwa Guest House huku Mwanza