Punguza mishahara, punguza kodi ili kuleta unafuu wa maisha kwa myonge,Kinachotakiwa kufanyika ni kusambaza vifaa vya kupimia kila kata ili watu wapimwe kwa wingi kila siku iendayo kwa Mungu
Simamisha ujenzi wa SGR na Stigler, kwa kigezo cha "force majeur"ambacho kinakubaliwa kwenye mkataba,
then chukua hela yote peleka kununua vifaa vya maabara na kunikinga na corona
Hakikisha kila hospitali ya wilaya ina maabara ya kupima korona
Hakikisha kila kaya kupitia serikali ya mtaa ina mask na sanitizer.
Logistics za kusambaza tuombe misaada NEC au NECTa jinsi wanavyo mudu kusambaza ballot paper kila kijiji au emams paper kila shule