Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

Uko sahihi kqbisa. Kiwango cha juu cha ukomavu wa kimaisha ni kuheshimu maamuzi ya mwingine. Ndio maana hata mimi nimefanya kuwa jambo binafsi.
kuheshimu maamuzi ya mtu sio yote yanafaa kuheshimiwa ndio maana nikaandika "usahihi wa mwanadamu upo kama havunji sheria za nature tu!"

mfano mtu anaefanya mapenzi kinyume na maumbile hafai kuheshimiwa!, maana nature lazima ikuadhibu tu ukienda kinyume nayo huwezi kulia chakula kwa kutumia sikio! halafu tukuchekee vipo vitu vyakuheshimu mtu lkn si vyote maana tuna uhuru lkn uhuru usio na mipaka ni ubatili.
 
Hapa tunachokiongelea ni kumuaga maiti na co kuiona maiti, kuaga na kuona ni vitu 2 tofauti, alafu unaposema hata mimi ningekua uko ningefanya nyie mfanyavyo, nasema nisingefanya kwa7bu huwa sifanyi jambo eti kwavile wengi wanaufanya, mimi nafanya jambo baada ya kutafuta ukweli wa jambo husika.

Usifuate mkumbo tafuta ukweli wa mambo unayoyafuata, Elimu haina mwisho mkuu.
sifati mkumbo nilichokuambi ukikaa chini ukaangalia maisha yako utaelewa vipo vingi tu unavyovifuata kutokana na imani uliyozaliwanayo bila kujali utashi wa akili yako!.

sio jambo la hatari kuaga maiti labda awe ni mtu aliefariki kwa ugonjwa unaoweza kuambukizika kwa njia rahisi ama alipatwa ajali mbaya ambayo kuona inahitaji ujasiri!.
 
Yesu mwenyewe hakumuaga Lazaro rafiki yake kipenzi. Alisubiri afe aoze ndio akaja kutoa rambirambi na pole kwa wakina Martha na Mariam. Utaratibu huu wa kuaga hasa kwa wakristo umetoka kwa tamaduni za wazungu sio biblia.

Mcha Mungu akifa ni baraka maana anapumzika akisubiri kula maisha Mbinguni, ila hasara tu kwa Mungu maana anakuwa amepungukiwa manpower.
"Heri wafu wafao katika Bwana"
Mungu hajawahi pungukiwa manpower! Mkizingua kuimba anasema hata mawe yataimba!
 
sifati mkumbo nilichokuambi ukikaa chini ukaangalia maisha yako utaelewa vipo vingi tu unavyovifuata kutokana na imani uliyozaliwanayo bila kujali utashi wa akili yako!.

sio jambo la hatari kuaga maiti labda awe ni mtu aliefariki kwa ugonjwa unaoweza kuambukizika kwa njia rahisi ama alipatwa ajali mbaya ambayo kuona inahitaji ujasiri!.
Ok nimekuelewa, uwe na siku njema na yenye mafanikio mkuu, but sorry kama umekwazika lani sio lengo langu kumkwaza mtu.
 
Yaani MTU anaendelea kuwepo katika spiritual realm (ulimwengu wa roho)

Hata ukiwa kuna mambo unataka akujuze unaweza kujiungajisha nae .

Kuaga mwili wa marehemu ni utaratibu uliopo tu.

Unaweza kuamua kutomuaga marehemu Ila ikakuletea shida ,familia yake wakapata shida.

Binadamu huwa hafi Ila kinachokufa ni mwili wa nyama tu.

Kama unavyosema Jesus Christ au Mungu yakobo n.k means those guys are still alive in spiritual realm.

Even ur ancestors they are still alive in spiritual realm.

Ukisikia ur mama is gone or anybody who is closed to you nenda umuage wewe hauoni kuwa anaona Ila yeye anaona.
Hii tafsiri imetok@na na uelewa wako binafsi au ni kutokana mafundisho uliyopewa?
 
Hua haina maana kimsingi , nimeona wengi kwenye magonjwa hawajitoi, lakini mtu akifa wanakua wepesi kufika kwa gharama kubwa wakati mtu huyo akiwa mgonjwa hawakumjali kwa lolote
 
MTU anapokufa anakuwa umekufa mwili wa nyama Ila yeye binafsi anakuwa yupo anaedndelea ku-exist

Ukifika kuhudhuria katika nyakati zote tatu utakuwa umefanya vzr.

Akiwa mzima
Akiwa ktk nyakati zake ngumu
Akiwa tayari roho imeacha mwili.
Naomba ka ufafanuzi hapa kidogo...
 
Yaani hao wagonjwa unaenda kuwaambia kwa heri naona unakaribia kufa? Kwani kifo usababishwa na uginjwa tu? Vipi kuhusu ajali za namna nyingi tu, ikiwemo kutandikwa risasi kama yule dada Acquilina? Hauwezi kuagana na mtu kuwa atakufa baada ya muda mfupi wakati hujui siku wala saa wala sehemu.
Ms R
yani nipo najaribu kumuelewa lakini uelewa unamkataa huyu mtoa mada,, mbona siku akijaribu ivo labda ndugu wa mgonjwa wasijue,lasivyo ataagwa yeye
 
Hata ukifanya yote kama una muda sidhani kama utapungukiwa kitu.
 
MTU anapokufa anakuwa umekufa mwili wa nyama Ila yeye binafsi anakuwa yupo anaedndelea ku-exist

Ukifika kuhudhuria katika nyakati zote tatu utakuwa umefanya vzr.

Akiwa mzima
Akiwa ktk nyakati zake ngumu
Akiwa tayari roho imeacha mwili.
Toa proof kwamba mtu anapokufa yeye binafsi anaendelea kuishi, toa proof ili nasi tujue. Otherwise zitakuwa hisia tu au kusoma vitabu vya imani tofauti.
 
Binafsi pia sina utaratibu wa "kuaga" mwili wa marehemu, sifanyi kabisa hiyo kitu.
 
Yaani MTU anaendelea kuwepo katika spiritual realm (ulimwengu wa roho)

Hata ukiwa kuna mambo unataka akujuze unaweza kujiungajisha nae .

Kuaga mwili wa marehemu ni utaratibu uliopo tu.

Unaweza kuamua kutomuaga marehemu Ila ikakuletea shida ,familia yake wakapata shida.

Binadamu huwa hafi Ila kinachokufa ni mwili wa nyama tu.

Kama unavyosema Jesus Christ au Mungu yakobo n.k means those guys are still alive in spiritual realm.

Even ur ancestors they are still alive in spiritual realm.

Ukisikia ur mama is gone or anybody who is closed to you nenda umuage wewe hauoni kuwa anaona Ila yeye anaona.
Mkuu labda nikupe temporary email.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena.

Naamini muda sahihi wa kumuaga mtu mara ya mwisho ni wakati akiwa hai, kama hutapata nafasi basi jitahidi kukumbuka mazuri yake inatosha.

Mtu akifa hajui kitu chochote. Kilio, unyenyekevu na huzuni unayoionyesha kwa maiti haimuhusu chochote muhusika wala haimuathili chochote. Vitu vivyo vinapaswa kufanyika akiwa katika hatua za mwisho.

Katika hili naungana na wayahudi na waislamu katika kutoaga kwa kuangalia sura ya maiti.

Faida ya huu utaratibu mpya kwangu, nimekuwa mwepesi sana kuwaona wagonjwa, watu wanaopitia nyakati ngumu hata kwa kupiga simu maana najua ndio muda wa thamani sana kwao maana ikitokea wamelala sinanafasi hiyo. Hivyo siwezi kuweka picha ya mtu aliyekufa status, au social media au kutembea na tshirt maana kwangu ni njia potofu ya kumkumbuka.

Natambua ni utaratibu mzuri kwa wanaoupenda ila kwa tukio la kupuuza kumuona rafiki yangu na jirani mgonjwa baada ya masaa mawili akafa na sikuwa na sababu ya msingi kutomuona nimeachana na utamaduni wa kuona maiti.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi.
Na wewe tukuage kabisa mkuu

Buriani ndugu matunduizi, pumzika kwa amani
 
Back
Top Bottom