Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

Uko sahihi kqbisa. Kiwango cha juu cha ukomavu wa kimaisha ni kuheshimu maamuzi ya mwingine. Ndio maana hata mimi nimefanya kuwa jambo binafsi.
kuheshimu maamuzi ya mtu sio yote yanafaa kuheshimiwa ndio maana nikaandika "usahihi wa mwanadamu upo kama havunji sheria za nature tu!"

mfano mtu anaefanya mapenzi kinyume na maumbile hafai kuheshimiwa!, maana nature lazima ikuadhibu tu ukienda kinyume nayo huwezi kulia chakula kwa kutumia sikio! halafu tukuchekee vipo vitu vyakuheshimu mtu lkn si vyote maana tuna uhuru lkn uhuru usio na mipaka ni ubatili.
 
sifati mkumbo nilichokuambi ukikaa chini ukaangalia maisha yako utaelewa vipo vingi tu unavyovifuata kutokana na imani uliyozaliwanayo bila kujali utashi wa akili yako!.

sio jambo la hatari kuaga maiti labda awe ni mtu aliefariki kwa ugonjwa unaoweza kuambukizika kwa njia rahisi ama alipatwa ajali mbaya ambayo kuona inahitaji ujasiri!.
 
Mungu hajawahi pungukiwa manpower! Mkizingua kuimba anasema hata mawe yataimba!
 
Ok nimekuelewa, uwe na siku njema na yenye mafanikio mkuu, but sorry kama umekwazika lani sio lengo langu kumkwaza mtu.
 
Hii tafsiri imetok@na na uelewa wako binafsi au ni kutokana mafundisho uliyopewa?
 
Hua haina maana kimsingi , nimeona wengi kwenye magonjwa hawajitoi, lakini mtu akifa wanakua wepesi kufika kwa gharama kubwa wakati mtu huyo akiwa mgonjwa hawakumjali kwa lolote
 
MTU anapokufa anakuwa umekufa mwili wa nyama Ila yeye binafsi anakuwa yupo anaedndelea ku-exist

Ukifika kuhudhuria katika nyakati zote tatu utakuwa umefanya vzr.

Akiwa mzima
Akiwa ktk nyakati zake ngumu
Akiwa tayari roho imeacha mwili.
Naomba ka ufafanuzi hapa kidogo...
 
yani nipo najaribu kumuelewa lakini uelewa unamkataa huyu mtoa mada,, mbona siku akijaribu ivo labda ndugu wa mgonjwa wasijue,lasivyo ataagwa yeye
 
Hata ukifanya yote kama una muda sidhani kama utapungukiwa kitu.
 
MTU anapokufa anakuwa umekufa mwili wa nyama Ila yeye binafsi anakuwa yupo anaedndelea ku-exist

Ukifika kuhudhuria katika nyakati zote tatu utakuwa umefanya vzr.

Akiwa mzima
Akiwa ktk nyakati zake ngumu
Akiwa tayari roho imeacha mwili.
Toa proof kwamba mtu anapokufa yeye binafsi anaendelea kuishi, toa proof ili nasi tujue. Otherwise zitakuwa hisia tu au kusoma vitabu vya imani tofauti.
 
Binafsi pia sina utaratibu wa "kuaga" mwili wa marehemu, sifanyi kabisa hiyo kitu.
 
Mkuu labda nikupe temporary email.
 
Na wewe tukuage kabisa mkuu


Buriani ndugu matunduizi, pumzika kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…