Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya


Ulivyoandika ni kana kwamba hautakuwa marehemu
 
Kwa hiyo siku hizi kuna taaluma ya kujua mtu huyu anakufa siku fulani hivyo nikamuage

Vipi wanaokufa kwa ajali?!!

Wale wanaokufa vitani nao twende tukaage wakiwa wazima?!!

Kifupi huna hoja za msingi jitahidi kuwa na utu wa kuaga marehemu
 
Sawa marehemu Nakuaga sasa hivi, ukifa wakuzike moja kwa moja tumemalizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…