niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Wewe na nani mnashindana kutwerk? Yani nyie wawili ndo mmebeba definition ya wanaume wote? Acha upuuzi1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani mnashindana kutwerk? Yani nyie wawili ndo mmebeba definition ya wanaume wote? Acha upuuzi1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu.
Kwa hiyo hata wewe Dona kuna jamaa anamsaidia mwamba?Tushaona huku mtaani wanavyosaidiwa...
Ukweli mchungu...
Nakuaminia sana mkuu, mimi kama sina mia mfukoni hata niione inanitizama hapo sina kazi nayo🤣🤣🤣Wangu huwa namyoosha hadi hatoki kitandani.. hili game kila mtu ashinde mechi zake tu.. 😅😅😅
Wacha bwana!! Kwahiyo nini kifanyike?Kinachowaumiza wanaume kwa sasa ni uchumi duni na stress za maisha. Huwezi kumridhisha mwanamke wakati una buku tano mfukoni na hujui kesho utaamkaje.
Nitafute/tutafute pesa tu, tukizikosa tutaendelea kupiga chini ya kiwango. Japo kuna jamaa hapo kasema yeye amejitune hata kama hana mia anakula mzigo kama kawaida.Wacha bwana!! Kwahiyo nini kifanyike?
😅😅😅 kwenye game siwazagi nina hela au sina, kikubwa niwe nimekula nimeshiba na mwanamke haja disturb mind yangu na makelele panapo kuwa hakuna mawe ndani.. kuna ile mwanamke anajua huna hela , alafu analetea mkeka wa bills.. hapo kama kakutusi lazima ilale tu .. ukigonga ujue we mmbishi sana.. Tunatakiwa kupiga show hata shetani akiwapitia wakitoka nje huko waone wanapoteza mda na michepuko.. wanarudi wenyewe njia kuu chap.. unyanyoosha hadi anakuwa bubu kwa mda 🤣🤣Nakuaminia sana mkuu, mimi kama sina mia mfukoni hata niione inanitizama hapo sina kazi nayo🤣🤣🤣
kanachopunguza ufanisi nk makelele ya wanawake.. kuna ile huna mawe wife anajua.. na ukifika anakuwa mfariji na kukupa moyo hadi shida unazisahau kama zipo.. huyo 6x6 unakipiga cha hatari.. hata kama huna mia mbovu..Nitafute/tutafute pesa tu, tukizikosa tutaendelea kupiga chini ya kiwango. Japo kuna jamaa hapo kasema yeye amejitune hata kama hana mia anakula mzigo kama kawaida.
Hapana, nasema ninachokiona...Kwa hiyo hata wewe Dona kuna jamaa anamsaidia mwamba?
Nikafikiri ni live/personal experience mkuu.Hapana, nasema ninachokiona...
Upo sahihi mkuu, ila pesa ni kitu kingine kabisa. Kinaleta utulivu wa nafsi na mchemko wa damu🤣🤣kanachopunguza ufanisi nk makelele ya wanawake.. kuna ile huna mawe wife anajua.. na ukifika anakuwa mfariji na kukupa moyo hadi shida unazisahau kama zipo.. huyo 6x6 unakipiga cha hatari.. hata kama huna mia mbovu..
ila kuna wale ukifika huna kitu anakusonya kwanza, alafu unapewa mkekaa 😅😅😅
hata size ya kaboloo inapungua kananywea ndani
Kweli hali ni mbaya sijui shida ni Nini,?Tushaona huku mtaani wanavyosaidiwa...
Ukweli mchungu...
Sheeendwaaa..Nikafikiri ni live/personal experience mkuu.
😂😂Endelea kutwerk na usijumuishe wengine we tikisa kalio hizo Kama sufian.
Mkuu lakini umesema tunachapiwa wake zetu balaa🤣🤣🤣wewe ukiwa mmoja wao itakuwa lazima tu kuna mwamba anakipiga hapo!!Sheeendwaaa..
Wanaume wako bize kutafuta pesa...Kweli hali ni mbaya wake za watu ndio wanaongoza Kwa kuliwa sijui shida Huwa ni nini?
Hadi wewe unayaona Sophy?Kweli hali ni mbaya sijui shida ni Nini,?
Nimezama kwa YESU ninahofu, siwezi kumpoteza kirahisi...Mkuu lakini umesema tunachapiwa wake zetu balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ukiwa mmoja wao itakuwa lazima tu kuna mwamba anakipiga hapo!!
Kuna mtu nilisikia anachepuka baada ya mumewe kutuma sms na akiulizwa na rafikizake anajibu mumewe Hana Kazi kimoja tu analala 😀😀Wanaume wako bize kutafuta pesa...
Akija anampa kimoja, anamuacha...
Mwanamke anabakia na naniliu..
Mimi nanyandua nashukuru Mungu Kwa uumbaji wake wa mfumo wangu wa kunyandua mademu 🙏🙏🙏1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi inatumaliza......misambwanda iliyonona kweli kweli tunabaki kuiangalia tu. Tukijaribu kuishughulikia basi inakuwa juu juu tu.
2. Chips kimegeuka kuwa chakula chetu pendwa na kikuu; asubuhi, mchana na jioni.
3. Vilevi; k-vant, shisha n.k
4. Mabadiliko ya ajabu ajabu ya tabia. Yaani sasa imefikia mwanaume anaulizwa, 'vipi tuzikaushe chips?' Anajibu, 'aka, usikaushe!' Shabaaash!!!!!
5. Kupungua kwa kiasi kikubwa kwa hamu ya tendo. Yaani mbususu sasa inakuwa kama umeona unyayo tu. Zamani hata ikitajwa tu, 'mzee mzima' anastuka. Kwa sasa upigaji bao moja ni 97%
6. Msongo wa mawazo kutokana na tafsiri mpya ya ugumu wa maisha iliyopo sasa inayochochewa na mitandao na uwingi wa motivational speakers (maana kwa mtazamo wangu zamani maisha yalikuwa magumu zaidi).
Matokeo sasa dada zetu hawaridhiki, hawamwagishwi maji! Mihangaiko imekuwa mingi....fadhaa imetamalaki. Ili mwanamke apate bao angalau tatu zinazomkata hamu basi itamlazimu kuwa na wanaume watatu. Hilo linakuja kwa kasi mno na limeeshaanza kukubaliwa kisaikolojia na baadhi ya wanandoa (mume anajua kuwa hayuko peke yake na haiwi shida sababu anajua pia kuwa hawezi kumridhisha). Ni suala la miaka michache tu ijayo tutayaona live kwenye social media kama tunavyoziona tupu ambazo zamani ilikuwa vigumu sana.