1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi inatumaliza......misambwanda iliyonona kweli kweli tunabaki kuiangalia tu. Tukijaribu kuishughulikia basi inakuwa juu juu tu.
2. Chips kimegeuka kuwa chakula chetu pendwa na kikuu; asubuhi, mchana na jioni.
3. Vilevi; k-vant, shisha n.k
4. Mabadiliko ya ajabu ajabu ya tabia. Yaani sasa imefikia mwanaume anaulizwa, 'vipi tuzikaushe chips?' Anajibu, 'aka, usikaushe!' Shabaaash!!!!!
5. Kupungua kwa kiasi kikubwa kwa hamu ya tendo. Yaani mbususu sasa inakuwa kama umeona unyayo tu. Zamani hata ikitajwa tu, 'mzee mzima' anastuka. Kwa sasa upigaji bao moja ni 97%
6. Msongo wa mawazo kutokana na tafsiri mpya ya ugumu wa maisha iliyopo sasa inayochochewa na mitandao na uwingi wa motivational speakers (maana kwa mtazamo wangu zamani maisha yalikuwa magumu zaidi).
Matokeo sasa dada zetu hawaridhiki, hawamwagishwi maji! Mihangaiko imekuwa mingi....fadhaa imetamalaki. Ili mwanamke apate bao angalau tatu zinazomkata hamu basi itamlazimu kuwa na wanaume watatu. Hilo linakuja kwa kasi mno na limeeshaanza kukubaliwa kisaikolojia na baadhi ya wanandoa (mume anajua kuwa hayuko peke yake na haiwi shida sababu anajua pia kuwa hawezi kumridhisha). Ni suala la miaka michache tu ijayo tutayaona live kwenye social media kama tunavyoziona tupu ambazo zamani ilikuwa vigumu sana.
Hili suala kila mtu ana mtazamo wake.
By the way mimi mtazamo wangu uko kwenye kuwalaumu wanawake zaidi kuliko kuwalaumu wanaume.
Mfano : Kwenye upande wa wanaume, sawa life style, stress, ulaji wa vyakula n.k unaweza ukawa unachangia kuwa dhaifu kitandani.
Lakini kimsingi hayo yanatibika tena tiba yake ni ndogo sana haiitaji hata kumeza dawa.
Kwa sababu unabadilisha tu aina ya vyakula na kufanya mazoezi ya viungo, mpaka hapo utakuwa usha-solve asilimia 90 ya tatizo.
Hilo la stress sometime ni kujiendekeza tu mwenyewe, kwa sababu mimi naamini ukikubaliana na ukweli sidhani kama utawaza tena, badala ya ku-move foward wewe unawaza ya kazi gani sasa.
Unapitia hali ngumu ya maisha ndiyo, take it easy,kwani uko peke yako unayopitia hiyo hali ? Au itakuwa ya kudumu ? kuna vitu vingine chukulia kuwa vya kawaida kwamba hutokeaga tu maishani then move foward.
Mimi naamini matatizo yote ya nguvu za kiume yanatibika isipokuwa labda uwe umezaliwa nalo tu.
Ila kama hukuzaliwa nalo broo wewe jiangalie kuna mahali kidogo unakosea, hasa life style, vyakula, mazoezi ya viungo, kuendekeza stress.
Wala hata huitaji kunywa dawa, yanajitibu yenyewe automatic.
NIJE UPANDE WA WANAWAKE : Hawa kwa kiasi kikubwa ndiyo wanachangia wanaume wanaonekane hawawezi kazi kitandani.
Imagine mwanamke ameanza kuliwa tangu akiwa na miaka 14 au 15, then mpaka anafikisha umri wa kuolewa miaka 25-30, unafikiri atakuwa ashatembea na wanaume wangapi ?
Tufanye kati ya 20-50 na kila mwanaume ana saizi yake ya MKONGA, unadhani mwanamke huyu akijakuolewa na miaka hiyo 30 ataacha kumwambia mmewe kuwa ana kibamia ? au hawezi kazi ?
Mtu PAPUCHI yake ishakuwa sugu ameanza kuliwa tangu ama miaka 13 na asaume analiwa karibu kila wiki na wanaume ni tofauti tofauti mpaka aje aolewe ana miaka 30 unadhani ataacha kumwambia mmewe hawezi kitandaani au kibamia ?
TRUST ME, Kama kila mwanamke angeolewa akiwa bikra, sidhani kama ungeskia kuna mwanamke analalamika kwamba mmewe ana kibamia au hamridhishi