Muda si mrefu najichoma moto, mambo yamekuwa sio poa

Mbezi beach kwa Yusuph.
nilivyoona hiyo tu nikajua chai
 
Pia tambua kuwa mwanadamu alipoumbwa alitiwa uoga kuhusu Kutoa uhai wake mwenyewe.

Ukiona unapata ujasiri na mawazo ya kujiua au unaota wafu, jua kuwa umevamiwa na PEPO la MAUTI,

Kimbilia Mahali salama Kwa watu wa Mungu watakusaidia.

Ubarikiwe.
 
Mkuu
Uwa hatutegeki kizembe hivi.. jipange upya, badili jina uje tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…