Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Mzee wiki iliyopita si ulileta uzi hapa namna gani Israel amepigika huko Gaza? Leo unajiliza nini tena shehe wangu.
Hatushindani nani kapigika.Ilipofikia tunazungumzia ukatili na ushetani.
Kuhusu kupigika Israel inajulikana na si mimi tu niliyesema hata makamanda wa IDF wamesema.
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.
Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.
Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.
Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.
Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Yaani ni kwamba hadi Israel ihakikishe imewafyeka Hamas vya kutosha kuhakikisha unyama wa Oct 7 haujirudii tena
 
Kwani hao wapalestina na waarabu wanashindwa nini kuwaambia hamas wawaachilie hao mateka wa kiyahudi kadri wanavyoshikiliwa mateka ndio israel inapata kibali cha kuiponda ponda gaza cha msingi embu mateka waachiliwe maana wapalestina wanakufa kama kuku sioni faida ya kuwashikilia mateka 124 huku mnaendelea kuuawa
Akili za waislamu bana!!, nadhani ni matokeo ya wanachokiisoma kwenye quruan yao tukufu
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.
Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.
Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.
Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.
Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Sisi hayatuhusu maana wenyewe tuna yetu mengi tu tena zaid ya hayo.
 
Tatizo mwarabu ni kichwa maji. Hawezi kujinyenyekeza na kumuomba MSAMAHA 🇮🇱 kwa Uhalifu wa kivita aliouanzisha kwa kuteka watoto waliokuwa kwenye starehe na kuwaua wakiwemo Watanzania 2. Wao waliamini kwa maandalizi ya vifaa vya Iran na mahandaki waliokuwa wamechimba mahospitalini wangeliteketeza Taifa la Mungu Kwa wakati mfupi
 
Kabisa aisee, Dunia imechafuka kabisa.

Unyama wa Putin huko Ukraine unalaaniwa kweli kweli na wakubwa wa Dunia ila hapo Gaza unaambiwa Israel inajilinda.
Kuna utofauti kumbuka kati ya israel na urusi kumbuka israel alivamiwa na hamas na raia wake waliuawa na kutekwa na hamas october 7 hivyo israel ina haki ya kujilinda lakini urusi aliivamia ukraine kwa sababu za uwongo ambapo ukraine wala hajaichokoza urusi
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.
Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.
Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.
Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.
Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Watu wapo toka 1947 halafu unasema uwaambie. Unataka uwaambie nini ? waislamu na waarabu wakazane na shule mbadala wa kushinda msikitini na swala tano. Waarabu wenyewe wanalindwa na Marekani. Saudia wanakoenda kuhiji Marekani ana kambi tano za kijeshi. Kuna kumpiga Israeli hapo ?
 
Hatujadili habari za Mohammed Deif ambaye tangu hapo keshakufa mara kadhaa.Tunajadili unyama unaofanyika kupitiliza kwa kisingizio cha kumtafuta Deif.
Hao Israel hawapigani vita vita wameshindwa wanacho fanya ni genocide tu.

Ulisikia kisa cha yule kijana mwenye down syndrome alitafunwa na mbwa live kabisa, na hao wanajeshi wa Israel wanatazama vipi mbwa ana mla kijana hafiki hata miaka 15 kilema mwenye ugonjwa wa Down Syndrome mpaa kafa.

Afu video wameitoa kwenye tube, ndugu na jama wakionyesha vipande vya nyama na mifupawa mwili wa yule marehemu.
Yule mtoto kafanana na huyu, hili jeshi linaonea vilema kweli ndio jeshi la taifa teule la wakristo

View: https://youtu.be/cn7dMYkKfos?si=WTZZCh_vUjDyyQdO
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.

Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.

Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.

Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.

Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Nyinyi islamists si mlikuwa mkisema Kamasi wanashinda hii vita! Sasa tulieni sindano iwaingie. Maana Israel waliisha anza kuondoka, raia wa Gaza wakawaruhusu Kamasi waanze tena kurusha Rocket kutokea makazi ya raia
 
Back
Top Bottom