Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Mmeokoa mateka wangapi mpaka sasa
Au wapalestina walijikusanya wengi sehemu nne tu mlipookoa wale magidi wanne waliotekwa
Mmeua viongozi wangapi wahamas mpaka sasa
Israhell anaweza kupigana nakin mama n watoto tu kwa hili anastahili kupewa hongera
Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
 
Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
Jumatatu ilopita watu wameshambulia huko kwa lgbtq+ nation tena kutokea hapo hapo khano younis
 
Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
Jiwe haliruhusiwi? Sema tukuonyeshe hizbollah anavyowafagia huku anarekodi live mashoga wanavyokata moto kama unajua kiarabu njoo dm upewe link mujarab ya telegram tu hizo nyingine utapotea mazayuni maongo kishenzi yanapelekwa kuzimu kila dk tena wahuni wanarekodi
 
Ulongo mtupu,dozi waliyopewa Hamas hawatarudia tena upumbavu waliofanya miaka 100 ijayo.
Endelea kuimba ngonjera
Israhell anapigana na watoto hawa hawatarudia kweli
Ila hamas wapo wapo sana kama mnaweza kawatoeni magaidi wenu waliotekwa😂😂😂
 
Endelea kuimba ngonjera
Israhell anapigana na watoto hawa hawatarudia kweli
Ila hamas wapo wapo sana kama mnaweza kawatoeni magaidi wenu waliotekwa😂😂😂
Jamaa huwa unajifariji kama jina lako huku wenzako wanapokea kipondo cha hatari.Mkipata muda muwe mnawaambia waache kuwachokoza vichaa.😂😂😂
 
###
mtu yeyote mwenye nia ya kutoa sadaka kwa kwaajili ya watoto wa gaza walio na mazingira magumu ya chakula anicheki dm nimpe link ya kuchangia kwa crypto au kama hawezi kwa uaminifu mkubwa mimi ntaiwakilisha kupitia wallet ya Usdt na Bitcoin. Angalizo ni hiari na kama huwezi kutuma chochote tafadhali usiombe wallet na ukituma nionyeshe muamala.
 
Back
Top Bottom