YesKuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa kete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hspo huwa inaleta ukakasi,maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote,katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi
Au mnaonaje??
Naunga mkono hoja.Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa kete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hspo huwa inaleta ukakasi,maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote,katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi
Au mnaonaje??
Itasaidia nini kuleta maendeleo?Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa kete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hspo huwa inaleta ukakasi,maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote,katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi
Au mnaonaje??
Kwanza ifutwe maana hawana umuhimu wowoteKuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa kete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hspo huwa inaleta ukakasi,maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote,katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi
Au mnaonaje??
Kama hauna chama haina mbaya!Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa kete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hspo huwa inaleta ukakasi,maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote,katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi
Au mnaonaje??
Wanafaida gani na wakati kuna Mwenyekiti wa mtaa?Ni kweli.
Muundo wa serikali unahitaji kushuka chini Kwa ngazi ya ubarozi.
Kwa Sasa chama tuu ndo kina mabarozi serikali Haina mabarozi.
Walishaga futwa. Hapa ni uelewa wa mwananchi kuwa viongozi wa chini kabisa wa mtaa wake au kitongoji ni wale waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Kwanza ifutwe maana hawana umuhimu wowote
CCM huwa inalazimisha mabalozi watambulike na sheriaWalishaga futwa. Hapa ni uelewa wa mwananchi kuwa viongozi wa chini kabisa wa mtaa wake au kitongoji ni wale waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mabarozi ndio chain ya chini wanao ishi kabisa na watu. Mwenyekiti ana control watu 300-700 muda mwingine inakuwa ngumu kujihusisha na mambo ya Moja Kwa moja ya watu.Wanafaida gani na wakati kuna Mwenyekiti wa mtaa?
Dah ngoja yakukute,wanamsaada sana hao,kutambua mipaka ya ardhi ya wananzengo,kutatua migogoro,kuwatambua wakazi nk
Kuna Wenyeviti wa vitongoji ndani ya mtaa, futeni huo ujinga wa mabaloziMabarozi ndio chain ya chini wanao ishi kabisa na watu. Mwenyekiti ana control watu 300-700 muda mwingine inakuwa ngumu kujihusisha na mambo ya Moja Kwa moja ya watu.
Kitongoji ni Unit kubwa ninae ongea nipo kwenye field hiyo kwakuwa umekuja kubisha ngoja niachane naweKuna Wenyeviti wa vitongoji ndani ya mtaa, futeni huo ujinga wa mabalozi
Hii ndio comment ya kijinga zaidi kwenye hhii mada.Hao wako kwenye muundo wa CCM, sio wa Chadema, na nyie Chadema undeni muundo wenu.
Japo ameongea ukweliHii ndio comment ya kijinga zaidi kwenye hhii mada.
Tatizo huna akiliHii ndio comment ya kijinga zaidi kwenye hhii mada.