Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

chadema watumie wenyeviti wa kanda maana mtaani hawana wawakilishi sasa. Hao mabalozi ni wa CCM na si vinginevyo 🐒
 
Sijawahi kupeleka hizo barua na mara kadhaa nimeuliza wanatambuliwa kwenye kifungu gani cha Katiba, hakuna aliyejibu na kiukweli nahudumiwa bila huo ujinga
 
Mkuu, una hoja ya msingi sana kuna mitaa, wana kaya wake 80% si wa Chama tawala lakini Balozi wao ni chama kilichopo madarakani, hii inaleta ukakasi sana na mtaa kudumaa katika maendeleo yake.
 
Mkuu, una hoja ya msingi sana kuna mitaa, wana kaya wake 80% si wa Chama tawala lakini Balozi wao ni chama kilichopo madarakani, hii inaleta ukakasi sana na mtaa kudumaa katika maendeleo yake.
Kabisaa
 
Hao mabalozi na wao mtawalipa ?
 
Katiba yetu haimtambui mjumbe wa nyumba kumi na mimi hawezi niendesha huyo...kwann sio barua ya serikali ya mtaa? Tusomeni katiba.
 
Katiba yetu haimtambui mjumbe wa nyumba kumi na mimi hawezi niendesha huyo...kwann sio barua ya serikali ya mtaa? Tusomeni katiba.
Kuna mitaa kama mwenywkiti ni wa CCM basi analazimisha barua ya balozi wa nyumba kumi,lengo ni kupeana ulaji,maana muhuri huku nilipo ni elfu mbili,katiba haiwatambui ila wana umuhimu sana,mimi mtaa wangu mwenyekiti hanijui maana tuko wengi,ila balozi wangu ananitambua bayana
 
Kugonga muhuri barua yeypte 2000,mkiuziana kiwanja,shamba au nyumba kuna percent anakula ndio malipo yao
Balozi hana muhuri, mwenyekiti wa mtaa ndio mwenye muhuri
 
Upo sahihi,nilichotaka watu wafahamu wajumbe wa nyumba kumi katiba haiwatambui ispokuwa wapo kwa ihsan za wananchi wa nyumba husika.Hivyo kwa kutambua hilo hata shida inayo hitaji pesa mnatakiwa mpange wote na huyo mjumbe nje ya hapo itakuwa ni wizi na upuuzi mkubwa na mimi huwa hawana cha kunifanya waking'aka namwambia nipeleke mahakamani nikamuabishie huko kwa aibu nzito.
 
Balozi hana muhuri, mwenyekiti wa mtaa ndio mwenye muhuri
Anao muhuri wa CCM,unaishi waoi ndugu yangu,tunataka huo muhuri usiwe wa CCM bali wa local government
 
Balozi ndio mtu wa kwanza anayefahamu wananchi wake wanaomzunguka .. System yote ya serikali na sekta binafsi inawatambua.. wewe unayesema hawapo kwenye katiba na ukienda serikali ya mtaa unahudumiwa vizuri wanakuchekea wanaokuhudumia mm ukija kwangu huna barua kutoka kwa balozi sikusaidii chochote na nenda popote unapotaka ata ..mahakaman kwenyewe bila barua ya balozi upati dhamana..
 

Hao wako kwenye muundo wa CCM, sio wa Chadema, na nyie Chadema undeni muundo wenu.
ukiwa na maana wakazi wote ni wanachama wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…