Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kwani aliyeshtaki ni Raisi, hiyo kesi ni sisi wazazi ndiyo tumefungua na mpaka leo tunauchungu na wtt wetu walivyofanyiwa, kwa kweli ni wauwaji kabisa wengine wtt wetu wamewachukia hata baba zao kwa ajili ya jinsia tu.
Pole mkuu,,hayo ndo maneno pekee naweza sema kwako