MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
mimi wameniacha hoi pale walipomfunga hadi yule mtoto wa miaka 18 kifungo cha maisha, wakati kipindi ambacho anadaoiwa kufanya kosa hilo alikuwa na miaka 17 kwa hiyo ilibidi ahukumiwe kama mtoto na siyo mtu mzima, nakumbuka kama sijakosea alikuwa kidato cha pili, halafu kuna mtu humu ameandika kuwa ile familia ilifanya vile kwa maelekezo ya mganga ili wawe matajiri sasa na huyu mwanafunzi alifanya ili awe na akili au maana alikuwa bado hajaanza kujitegemea, halafu inawezekana vipi familia nzima iwe na tabia moja halafu baba awe anafahamu kuwa tabia yake ya kulawiti na wanae pia wanayo na awe anamlipa mwalimu awe anawaleta hao watoto na kuanza kugawana na wanawe kila mmoja na wake, mkuu wa nyumba baada ya kuona kachemka kumfunga hadi mtoto akaamua kumwachia yule dogo ila skakomaa na wengine