Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kwani aliyeshtaki ni Raisi, hiyo kesi ni sisi wazazi ndiyo tumefungua na mpaka leo tunauchungu na wtt wetu walivyofanyiwa, kwa kweli ni wauwaji kabisa wengine wtt wetu wamewachukia hata baba zao kwa ajili ya jinsia tu.
kwahiyo raisi nani.mafuriko ya lowasa hayazuiliki
ja. M..kiwete
Kumbe unakaa nje ya dar, ndio maana hujui dunia inaendaje utakaa kila kitu kusimuliwa, mimi aliyefanyiw ni mmoja wa familia yangu, ni mtt wangu sasa niache niongee ukweli tunauchungu kama wazazi na kitendo alichofanyiwa mtt wetu na hujui nina uchungu kiasi gani, naomba kwa Mungu na wewe siku moja yakupate usijie uchungu wake.
Acha uongo wewe usitukumbushe machungu ya watoto wetu walichofanyiwa, huna akili hata kidogo.
ni vema na busara ukathibitisha kuwa sina akili kwa wewe kutoa ushahidi wa hicho unachokiamini vinginevyo nadhani wewe utakuwa ni mwehu uliyetukuka. nina ukweli zaidi ya nilichokiandika ila ninachokifanya tu ni kufunika kikombe mwanaharamu apite na nadhani utakuwa peke yako usiyejua conspiracy iliyokuwepo juu ya familia ya mzee nguza na kwa kukusaidia tu utafute ule wimbo wake uliovuma vizuri sana kisha sikiliza na fuatilia vizuri maudhui yake utapata fimbo kubwa lililopo na kama ukishindwa kulijua rudi tena kwangu nitakufundisha na kukuelekeza. hakuna ambaye hajui kuwa nyie wazazi wa hao vijana mlipewa pesa nyingi na kuna baadhi yenu hadi mkapelekwa kufichwa nje ya nchi ili kuwafanyeni msiwe karibu na media za tanzania kwakuwa inahofiwa kuwa mngeweza kuropoka na mpaka sasa mnafuatiliwa kwa umakini mkubwa nyendo zenu. ni vema siku nyingine kama unakuwa hujui kitu au jambo fulani basi uwe unanyamaza tu au unauliza upewe maelekezo kamili. haya sawa mimi sina akili kama usemavyo je huyo binti ambaye alisema kuwa alivuliwa chupi yake na ikapakazwa chilli source na yeye hana akili?
Hivi ilikua ubakaji au ulawiti ???
Peleka ushahidi mahakamani, hatoki ng'o mpaka afie jela mshenzi mkubwa yule.
mods mpo au mmelala? tendeni haki ya kimsingi kwa watu wote tafadhali kwani jukwaa hili halijafikiwa watu kutukana matusi makubwa ya namna hii halafu bado tu wanaendelea ku log in. nasisitiza kwenu tendeni haki kwa wote na siyo wote humu ni wahuni kama wengine kwa hizi lugha chafu na zisizovumilika haswa haswa za huyu member.
Wakati Babu seya anafungwa kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje Rais alikuwa mkapa au umesahau mkuu?
p.u.mbu zako, m.k.u.nd.u kuwasha wewe unawafundisha mods kazi?
Unavyoongea kana kwamba wale washenzi walionewa..hivi unajua kwa nini rufaa zote zilibuma? Kwa taarifa yako waliwaambukiza UKIMWI watoto 17..Je huyo Mungu wa Ibrahimu aliwaagiza kufanya hivyo?Naamini rais ajaye asipokuwa team kikwete atawaachia huru. Tumuombe mungu. Na huyo aliyemhukumu na huyo aliyetoa maelekezo afungwe mungu wetu wa Ibrahim atampa adhabu inayomfaa kama sio leo ni kesho kama kweli hawakuwa wametenda hicho walichoambiwa wametenda
Peleka ushahidi mahakamani, hatoki ng'o mpaka afie jela mshenzi mkubwa yule.
hadi mda huu bado ni waziri wa mambo ya nje
Atatoka. Yes I say ATATOKA.!! Ikikuuma katafute malimao.
Yote kwa pamoja maana kulikua na vitoto vya kiume na kikeHivi ilikua ubakaji au ulawiti ???