Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

Acha wafie huko huko kwa ule unyama.

Nendeni mkamuulize. Mwanaharakati Ananilea Nkya
 
Amina. Umesema yote na mimi nafahamu hivyo, hawasingiziwi hata tone. Wanaodai eti hao wahalifu wamesingiziwa hawakufuatilia mwenendo wa kesi ile. Ilionekana dhahiri walifanya na kwa vitendo vile ingefaa wanyongwe kabisa. Hivi mtoto wako afanyiwe vitendo kama vile halafu usikie Rais wako eti kamsamehe utajisikiaje?
Kufuatilia mwenendo wa kesi kwa karibu hakumaanishi kila kinachosemwa ni chakweli ndugu yangu ndio maana magereza yamejaa walalahoi, hii haimaanishi wao ndio wakosaji. Tafakari
 
Kumbe unakaa nje ya dar, ndio maana hujui dunia inaendaje utakaa kila kitu kusimuliwa, mimi aliyefanyiw ni mmoja wa familia yangu, ni mtt wangu sasa niache niongee ukweli tunauchungu kama wazazi na kitendo alichofanyiwa mtt wetu na hujui nina uchungu kiasi gani, naomba kwa Mungu na wewe siku moja yakupate usijie uchungu wake.

Mbona hamfunguki wenye watoto waliobakwa mnabaki kusema mnamachungu? Funguka siku ya tukio ilikuwaje.
 
Back
Top Bottom