Sikumbuki, ila haizidi 20k.Duh hatari ,halafu nimekumbuka hivi na malipo yake kwa contoll no. huwa ni shingapi?
4hoursHabari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda gani kuweza kupata cheti kipya cha kuzaliwa
na pia unaweza ukachezesha asubuh jion unacho niwewe tu na uongeaji wako pale ofisini ya wilaya yakoHabari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda gani kuweza kupata cheti kipya cha kuzaliwa
old to new ni 7kDuh hatari ,halafu nimekumbuka hivi na malipo yake kwa contoll no. huwa ni shingapi?
online nikiwa kilimanjaro ila pickup office nikaweka Arusha jiji maana nilikua naenda huko so kufika Arusha nacho kipo tayarUliombea online au ulienda ofisini kabisa?
OnlineKikiwa tayari wanakupigia simu au taarifa unaipata online?
pale pale ulipoombea kuna sehemu ya status ikiandika "issued" ujue kipo tayar.. mwingine anaweza akakuandikia kwa kiswahili kabisa "kipo tayar" mwingine anaweka "ok" ukikutana na vitoto vya field havielew anaeka ata nukta tuKikiwa tayari wanakupigia simu au taarifa unaipata online?
ππππ Vitoto vya field tenapale pale ulipoombea kuna sehemu ya status ikiandika "issued" ujue kipo tayar.. mwingine anaweza akakuandikia kwa kiswahili kabisa "kipo tayar" mwingine anaweka "ok" ukikutana na vitoto vya field havielew anaeka ata nukta tu