Ungekua ushaanza. Week tu mzigo upo. Sema umeanza muda mbaya Madogo wana apply vyuo. Inaluaga busy sana system.
Mimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tuonline nikiwa kilimanjaro ila pickup office nikaweka Arusha jiji maana nilikua naenda huko so kufika Arusha nacho kipo tayar
Uko vizuri sana msajiliold to new ni 7k
Mad Max EricMan kama mnafahamu chochote kuhusu swala la kijana🙏Mimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tu
kadi yako ya kliniki inasoma wapi?Mimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tu
Vile vya zamani havipo kwenye database na hivi vipya ndo wanaweka data base na wanapunguza taarifa kwenye hard copy ili zingine zikae kwenye databaseHivi tunarenew cheti cha kuzaliwa ili iweje???!!!
Dunia inasonga mbele sisi black baboons tupotupo tu.
Whats the essence of these certificates na makadi kibao for what????!!! Tayari kuna NIDA ambayo inataarifa mpaka za madole ya kila mtu mzima???!!!
Naona hapo watu wanasema e-RITA sasa huu ukiritimba utaisha lini??!!!
Wasomi wa Tz muje mnifahamishe kwanini tunakuwa na macertificate kama haya mpaka leo au ndio namna mpya ya makusanyo???!!!!
#Nathindwa kualewa😬😬😬😬
Na bado ukishaingizwa kwenye data base unalipia upewe likadi???!!!Vile vya zamani havipo kwenye database na hivi vipya ndo wanaweka data base na wanapunguza taarifa kwenye hard copy ili zingine zikae kwenye database
Unalipia 7k 😀 hii ishu wangetakiwa wafanye bureeNa bado ukishaingizwa kwenye data base unalipia upewe likadi???!!!
inawezekana ndioooMimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tu
Vile vya zamani havitumiki tena au kuna deadline?old to new ni 7k
hakuna deadline mpaka sasa iliyotangazwa ila vinaleta vikwazo vya kutoonekana kwenye mifumo, Mfano baba yangu anatumia bima kupitia mimi na alipoenda famas kupewa dawa wakamwambia alete bima na chet changu mimi alipopeleka (old) wakamwambia hivi hatuwezi kusoma kwenye system inatakiwa vile vipya ili tumuone kwenye system so ikabidi nianze kubadili chet, mpaka naapata kipya week ishaisha kumbuka apo mzee hajapata dawaVile vya zamani havitumiki tena au kuna deadline?
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Ngoja nikashughulikie cha kwanguhakuna deadline mpaka sasa iliyotangazwa ila vinaleta vikwazo vya kutoonekana kwenye mifumo, Mfano baba yangu anatumia bima kupitia mimi na alipoenda famas kupewa dawa wakamwambia alete bima na chet changu mimi alipopeleka (old) wakamwambia hivi hatuwezi kusoma kwenye system inatakiwa vile vipya ili tumuone kwenye system so ikabidi nianze kubadili chet, mpaka naapata kipya week ishaisha kumbuka apo mzee hajapata dawa
online tu apo chap ada ni 7k ofisini kuna madalali wanakuambia lete 50k 😀Asante kwa ufafanuzi mkuu. Ngoja nikashughulikie cha kwangu
Ah ulisema kweli mkuu ,hapa mfumo mzito vibaya mno kila nikijaza inaclear page then inasema rejoining server 😃.Ungekua ushaanza. Week tu mzigo upo. Sema umeanza muda mbaya Madogo wana apply vyuo. Inaluaga busy sana system.
Iwekee alarm usiku, saa 7-10 hiviAh ulisema kweli mkuu ,hapa mfumo mzito vibaya mno kila nikijaza inaclear page then inasema rejoining server 😃.
Ila mifumo yetu hii bas tu🙌😂
Naomba kuuliza hivi ni kweli vile virefu vya zamani havitakiwi Tena?Kuna rafikiangu aliniambiaHabari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda gani kuweza kupata cheti kipya cha kuzaliwa