Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mimi nimekipata kwa siku 2 tu bila shida
online tu apo chap ada ni 7k ofisini kuna madalali wanakuambia lete 50k 😀
Inavyoonekana ni kama havitakiwi maana sasahivi kwenye issues nyingi nyingi ukienda wanataka uwe na kipya kama anavosema mdau hapaNaomba kuuliza hivi ni kweli vile virefu vya zamani havitakiwi Tena?Kuna rafikiangu aliniambia
Ila kwa baadae inaonekana watavipiga stop so kama unaweza kubadili sasa badili tuhakuna deadline mpaka sasa iliyotangazwa ila vinaleta vikwazo vya kutoonekana kwenye mifumo, Mfano baba yangu anatumia bima kupitia mimi na alipoenda famas kupewa dawa wakamwambia alete bima na chet changu mimi alipopeleka (old) wakamwambia hivi hatuwezi kusoma kwenye system inatakiwa vile vipya ili tumuone kwenye system so ikabidi nianze kubadili chet, mpaka naapata kipya week ishaisha kumbuka apo mzee hajapata dawa
Hili eneo la dunia ni futuhi sio nchi!!!Unalipia 7k 😀 hii ishu wangetakiwa wafanye buree
Duhhh kumbee!!Asante mkuu..Inavyoonekana ni kama havitakiwi maana sasahivi kwenye issues nyingi nyingi ukienda wanataka uwe na kipya kama anavosema mdau hapa
Ila kwa baadae inaonekana watavipiga stop so kama unaweza kubadili sasa badili tu
unafanya maombi mapya?Mkuu View attachment 3676594
Mkuu msaada kidogo hapa ,mzee wangu ni marehemu ,sasa hizi taarifa zinakuwaje na ni lazima kujaza ili niweze kwenda mbele ,unanishaurije
Mad Max nakuomba pia hapa kaka🙏
old to new copy kila kitu kama kilivyo kwenye kile cha zaman jaza taarifa zake kama zilivyo, kwenye occupation weka deceasedNo nachange from Old to New hapo nipo hatua ya 3 ,Father's information
control no. za serikali ni mwezi mmojaNataka nicreate control number usiku huu ,hivi hiyo control number huwa inaexpire baada ya muda gani?
Jaza.Mkuu View attachment 3676594
Mkuu msaada kidogo hapa ,mzee wangu ni marehemu ,sasa hizi taarifa zinakuwaje na ni lazima kujaza ili niweze kwenda mbele ,unanishaurije
Mad Max nakuomba pia hapa kaka🙏
Mi nilitumia siku 3 tu siku ya nne nikafata hardcopyHabari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda gani kuweza kupata cheti kipya cha kuzaliwa
Nashukuru sanaonline tu apo chap ada ni 7k ofisini kuna madalali wanakuambia lete 50k 😀