Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

Ungekua ushaanza. Week tu mzigo upo. Sema umeanza muda mbaya Madogo wana apply vyuo. Inaluaga busy sana system.
Ah aisee kweli mzee ,mpaka now inakaribia mwezi sasa Remark inasoma APPROVED
 
Kuna mikoa wako fasta sana mfano Arusha mjini masaa 48

na pia unaweza ukachezesha asubuh jion unacho niwewe tu na uongeaji wako pale ofisini ya wilaya yako
Sisi ambao siyo waongeaji Sana kwahiyo hatupati cheti Cha kuzaliwa
 
Back
Top Bottom