Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

online nikiwa kilimanjaro ila pickup office nikaweka Arusha jiji maana nilikua naenda huko so kufika Arusha nacho kipo tayar
Mimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tu
 
Mad Max EricMan kama mnafahamu chochote kuhusu swala la kijanaπŸ™
 
kadi yako ya kliniki inasoma wapi?
 
Hivi tunarenew cheti cha kuzaliwa ili iweje???!!!

Dunia inasonga mbele sisi black baboons tupotupo tu.

Whats the essence of these certificates na makadi kibao for what????!!! Tayari kuna NIDA ambayo inataarifa mpaka za madole ya kila mtu mzima???!!!

Naona hapo watu wanasema e-RITA sasa huu ukiritimba utaisha lini??!!!

Wasomi wa Tz muje mnifahamishe kwanini tunakuwa na macertificate kama haya mpaka leo au ndio namna mpya ya makusanyo???!!!!

#Nathindwa kualewa😬😬😬😬
 
Vile vya zamani havipo kwenye database na hivi vipya ndo wanaweka data base na wanapunguza taarifa kwenye hard copy ili zingine zikae kwenye database
 
inawezekana ndiooo
 
Vile vya zamani havitumiki tena au kuna deadline?
hakuna deadline mpaka sasa iliyotangazwa ila vinaleta vikwazo vya kutoonekana kwenye mifumo, Mfano baba yangu anatumia bima kupitia mimi na alipoenda famas kupewa dawa wakamwambia alete bima na chet changu mimi alipopeleka (old) wakamwambia hivi hatuwezi kusoma kwenye system inatakiwa vile vipya ili tumuone kwenye system so ikabidi nianze kubadili chet, mpaka naapata kipya week ishaisha kumbuka apo mzee hajapata dawa
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Ngoja nikashughulikie cha kwangu
 
Ungekua ushaanza. Week tu mzigo upo. Sema umeanza muda mbaya Madogo wana apply vyuo. Inaluaga busy sana system.
Ah ulisema kweli mkuu ,hapa mfumo mzito vibaya mno kila nikijaza inaclear page then inasema rejoining server πŸ˜ƒ.

Ila mifumo yetu hii bas tuπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Ah ulisema kweli mkuu ,hapa mfumo mzito vibaya mno kila nikijaza inaclear page then inasema rejoining server πŸ˜ƒ.

Ila mifumo yetu hii bas tuπŸ™ŒπŸ˜‚
Iwekee alarm usiku, saa 7-10 hivi
 
Naomba kuuliza hivi ni kweli vile virefu vya zamani havitakiwi Tena?Kuna rafikiangu aliniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…