Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

online tu apo chap ada ni 7k ofisini kuna madalali wanakuambia lete 50k 😀

Naomba kuuliza hivi ni kweli vile virefu vya zamani havitakiwi Tena?Kuna rafikiangu aliniambia
Inavyoonekana ni kama havitakiwi maana sasahivi kwenye issues nyingi nyingi ukienda wanataka uwe na kipya kama anavosema mdau hapa
Ila kwa baadae inaonekana watavipiga stop so kama unaweza kubadili sasa badili tu
 
Reactions: ABJ

Duhhh kumbee!!Asante mkuu..
 
No nachange from Old to New hapo nipo hatua ya 3 ,Father's information
old to new copy kila kitu kama kilivyo kwenye kile cha zaman jaza taarifa zake kama zilivyo, kwenye occupation weka deceased
 
old to new copy kila kitu kama kilivyo kwenye kile cha zaman jaza taarifa zake kama zilivyo, kwenye occupation weka deceased
Nataka nicreate control number usiku huu ,hivi hiyo control number huwa inaexpire baada ya muda gani?
 
Mi nilitumia siku 3 tu siku ya nne nikafata hardcopy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…