Nimekupata vema mkuuUsijipangie mda maalum wa kurudi nyumban, bali weka kanuni za jinsi unataka familia yako iwe hapo hapo utajikuta unajua mda wa kurudi home ni upi
Mfano: chakula cha usiku ni lazma tushiriki familia nzima kwa wakat mmoja na mda wa kula usizidi saa mbili na nusu usiku, sitoki nyumban kama sina jambo lenye maana huko mitaan, nk
Alaf kama umeamua kuishi na mtu kama mme na mke jua upo chin yake na yeye chin yako jitaidi kumpa kipaumbele zaidi kuliko vitu visivyo na manufaa kwako
Nimekusoma mkuuMimi nyumbani naingia saa 19:30/20:15 hakuna wa kunipangia upo wakati nachelewa kutokana na sababu maalumu vikao vya kijamii dharura za kikazi etc but ni mara chache sana kutokea.
Kama kazi yako inakuruhusu kuingia home saa 19:00 nenda mambo yakuambiana sijui mwanaume unaendaje nyumbani mapema siku hizi hayapo wahi piga story na mkeo au wahi pata muda wa kucheza na wanao kabla hawajalala maana wanaweza wakaamka kesho hawana baba baba alipigwa chupa ya kichwa bar alikopita kuchelewa kuwahi nyumbani.
Akili ipo mkuuKwa aina ya swali ulilouliza bado hujawa na akili ya kuoa.
Kwahiyo braza Kwa akili zako timamu UMEAMUA KUOA..!!... amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa tayari nina maamuzi juu yake.......
Saa 2
Kuoa ni muhimu mkuuKwahiyo braza Kwa akili zako timamu UMEAMUA KUOA..!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Yaani bila kushinikizwa na yeyotee umeamua KUZITAFUTA SHIDA ZILIPO LALA?
Nacheka "Hiiii bagoshaaaaa" in JPM's voice.
#YNWA
Kama kuna ukweli ndani yakeKwa siku za kawaida yaani j3 mpaka alhamisi rudi saa nane usiku ukiwa umelewa chakari kwa week end tunarudi saa kumi na moja asubuhi........ishi humo ndoa yako ita dumu mda mrefu
Mambo yasiwe mengi
Kabla hakujaanza kupambazuka, au amechelewa saana basi iwe angalau saa 11:30 alfajiri.Swali kwa leo, ni upi muda sahihi wa mume kurudi nyumbani? (ili ndoa iwe ni yenye kunawili)
CapturedRudi mapema upte muda wa kutulia na mkeo mchakatuane na kucheza kimahaba, plus kupanga mambo ya maendeleo.
Imekaa vizuriMaliza majukumu, pita bar kunywa mbili tatu kapige story na washkaji akili ichangamke Ila saa sita jitahidi uwe home....
Imekaa vizuri hiiKaa na mpenzi wako mpangiane muda vinginevyo itakuwa shida.