moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Tambala mbovu njoo umtetee tena Fondoh Malone.Nakusaidia tu kama hautaki kuona makosa kwenye mpira kaangalie mbio za Baiskeli kule hakuna makosa ya kujirudia rudia.
Mpira wa miguu sifa yake ni uwepo wa makosa ambayo ndio msingi wake.
Nitajie beki mzuri nchi hii kuliko Che Malone kwa sifa zote unazo taka.
1.Libero
2.Sweeper
Aina zote za beki wakati na sifa zao hakuna kama Che Malone Labda mpira una angalia ukiwa na mawazo kichwani.
#Jicho la kitaalamu sio jicho la kishabiki....!!! Mfano wakati Tanzania tuna sema Baka wa Yanga ni beki Bora nchini.Aliye kuwa kocha wake Nabi akiwa Far Rabat wakati ana hitaji beki wa kati aliomba timu imesajili Inonga na akisema ndio beki Bora kwa Sasa Tanzania, Je hakumuona Baka ambaye alimfundisha ?
Ukifatilia Interview ya Nabi ameongea kitaalumu Sana kuhusu ubora wa Inonga na sio Baka wetu.
Sasa basi tuna shida ya kuelewa mpira na misingi yake.
Kila mechi anarudia kosa kiasi kwamba maadui wameshajua upuuzi wake.
Hatuwezi kuheshimu jina, tunaheshimu uwezo bila kujali jina.